Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Sio enterpreneur, andika hivi Entrepreneur
 
ngona nikazane kwenye spelling na maana zake kwa ajili ya kuandika. Lakini kutamka unayatamka haya maneno wapi, kwenye gulio?
 
ngona nikazane kwenye spelling na maana zake kwa ajili ya kuandika. Lakini kutamka unayatamka haya maneno wapi, kwenye gulio?
Hukohuko unakoyaandikia; siku utaambiwa, hemu soma hiki ulichoandika, ndipo utatumbua mimacho hiyo midogo na kuikumbuka thamani ya JF
 
Kiingereza kina tabia ya ajabu Sana kwa watanzania,utakuta mtu unajua kabisa yaani na unaweza kuandika hata kurasa 10 bila kukosea maana.lakini ukija kuongea sentensi tano hazifiki eti kishakuponyoka,huwa nashangaa Sana kwa kweli.aliyeleta hii light bongo,Mungu anamuona.
 
Packers (hutamkwa Pakaz kwa Kiswahili), mimi nilikuwa nasema Pekaz as in Tanganyika Packers.
 
Siyo English tu, bali "killer loo-gar" inayozungumzwa inakuwa na sifa hiyo. Skills za lugha ni 4:
  • KUSOMA
  • KUSIKILIZA
  • KUANDIKA
  • KUZUNGUMZA
Sasa, ulemavu tunajitakia wenyewe wakati wa kujifunza. Unapata tunda la mti ulioupanda mwenyewe. Imagine kuna mtu anaweza kuzungumza kwa ufundi, mvuto na ufasaha mkubwa, lakini akipewa kusoma ni majanga.
 
We-yeah, Far-two-mar, killer key two chain-knew key-now-a-car motto come-bee-knee per-lay Ma-sir-key.

Weyeah, Fatuma, kila kitu chenu kinawaka moto kambini pale Masaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…