usihangaike tamka tu vajana, pinas au einasVagina inatamkwaje?
Hivi hili linasomekaje...Schedule
ShejoHivi hili linasomekaje...
Ni Skejo, Shejo au skedle[emoji23][emoji23][emoji23]
LikoLiquor
LikaLiko
ThanksLika
Exercise --- hii ngoma ilikuwa noma
Mkuu hebu nisaidie haya majina yanatamkwaje?Jew --- juu
Jewelry --- juu-ri
Pseudonym --- sudonim
Ki "ai" cha mwisho hakipaswi kuwepo kwenye matamshi.Eksasaizi
LikaLiko
Thanks,,,et mkuu haya majina yanatamkwaje?Lika
Ivoon --- unavuta kama vile kuna double "o"Mkuu hebu nisaidie haya majina yanatamkwaje?
1:Arthur
2:Yvonne
Okay,,Mimi nilkua najua ni Yivon na Ata au AturKi "ai" cha mwisho hakipaswi kuwepo kwenye matamshi.
eksasaiz
Ivoon
Atha