Maneno haya ni marufu sana humu ndan sijajua ni kwanini

Maneno haya ni marufu sana humu ndan sijajua ni kwanini

Am here mahondaw wangu...

Neno marufu sana humu ni hilo "mkuu"

Sijui kwa nini watu wanapenda kuitana hivyo... Ni neno ambalo silitumii kabisa...
Hahahaah kuna maneno yahuku nimekua addicted nayo mama mkurya atatoaje macho eti ndonini tena
 
Neno MKUU nadhani ni maarufu kuliko hayo yote uliyoandika hapo
 
Back
Top Bottom