Maneno haya ukitoa herufi moja tu, umeharibu maana

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Kamwene!
Wandugu, maneno haya ukitoa herufi moja au mbili utakuwa umeharibu maana kama sio KUTUKANA. Au ukitamka ndivyo sivyo.
1. Mbao. Ukitoa m
2. Komaa. ukitoa a
3. Kura. ukitamka kula
4. Mahari. ukitamka mahali.
5. Ndoano. ukitoa no
6. .........
Ongeza hiyo#6, 7,8....
Ongeza kinamba alipoishia mwenzio ili tujue idadi ya maneno ambayo tunatakiwa kuwa makini nayo!
NAWASILISHA
 

Kamwene, unoge.......
Kiatu......toa a........kitu
Kijiko........toa ki.......jiko
Sabuni......toa sa buni
Kikombe..toa ki.....kombe
Gumba.......toa g.....umba
Simba.....toa s.......imba
Piga..toa p...iga
Chapati...toa ti....chapa
 
Mtoa mada kwa salam yako bila shaka ww ni mtu wa NJOMBE sasa fanya hivi- jina la mkoa wako toa herufi J weka T aksante
 
Kondoa ni wilaya ktk mkoa Wa dodoma. Ukitoa K
Ondoa ni toa sehemu moja kwenda nyingine. Toa O
Ndoa ni muungano wa mume na mke! Toa N
DOA ni Alana ndongo iliyopo ktk rangi tofauti. D
Oa ni mzizi Wa kitenzi cha kuoa. Toa O
A ni tamko linaloonesha mshangao!
Hiyo ndiyo kondoa mwanzo mwisho!!
 

Nimependa ulivyonyambulisha maneno yako
 
Kamwene, unoge.......
Kiatu......toa a........kitu
Kijiko........toa ki.......jiko
Sabuni......toa sa buni
Kikombe..toa ki.....kombe
Gumba.......toa g.....umba
Simba.....toa s.......imba
Piga..toa p...iga
Chapati...toa ti....chapa

Ndi mnofu yuve. Ndauli mapigo!
 

Aiseeeeee! We mkali wa kufikir
 
kweli we m.k.u.n.d.u! usishtuke namanisha

M - Mtu Muhimu
K - Kwenye
U - Ushirikiano
N - Na
D - Deals
U - Unazo

kweli we M.K.u.n.d.u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…