Nimesema hivi ndugu yangu;
ANGALIZO/TAHADHARI: Ninaomba tuepeka kabisa comments za kisiasa, udini (uislamu na ukristo) pamoja na ukabila (uzanzibar pamoja na ubara) kwa maana sio lengo la mada hii.
Ushaambiwa privateShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania, eti;
Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili?
MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR UNIVERSITY"
=========
The Zanzibar University (ZU) is a private university in Zanzibar, Tanzania. It opened in 1998 as the first university in Zanzibar, is a private university sponsored by the Darul Iman Charitable Association, an Islamic religious organization in Ontario, Canada. It is situated at Tunguu area, in the Central District, some 12 miles (19 km) from Zanzibar Town. The University campus, with a total area of 170 acres (0.69 km2) of land, is located among quiet countryside surroundings overlooking the Indian Ocean. There is public transport to the University.
=========
ANGALIZO/TAHADHARI: Ninaomba tuepeka kabisa comments za kisiasa, udini (uislamu na ukristo) pamoja na ukabila (uzanzibar pamoja na ubara) kwa maana sio lengo la mada hii.
Sisi watanzania wote ni ndugu na wamoja licha ya tofauti zetu chache (Minor Differences) na sote tuungane katika kutatua changamoto zetu za kitaifa ili tuweze kusonga mbele zaidi kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Huyo tatizo lake ni kuona hayo maandishi ni kwa lugha ya Kiarabu tuu,halafu kajiwahi kutoa angalizo kua hataki malumbano ya Udini au Siasa!Mbona kuna vyuo vinaandikwa kihindi huulizi?
Mhhh...Huyo tatizo lake ni kuona hayo maandishi ni kwa lugha ya Kiarabu tuu,
Dah..... جامعة زنجبار = Jamiat Zanjibar = Chuo kikuu cha Zanzibar 😎🤭Maana yake ni nini?
MsiwapangieShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania, eti;
Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili?
MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR UNIVERSITY"
=========
The Zanzibar University (ZU) is a private university in Zanzibar, Tanzania. It opened in 1998 as the first university in Zanzibar, is a private university sponsored by the Darul Iman Charitable Association, an Islamic religious organization in Ontario, Canada. It is situated at Tunguu area, in the Central District, some 12 miles (19 km) from Zanzibar Town. The University campus, with a total area of 170 acres (0.69 km2) of land, is located among quiet countryside surroundings overlooking the Indian Ocean. There is public transport to the University.
=========
ANGALIZO/TAHADHARI: Ninaomba tuepeka kabisa comments za kisiasa, udini (uislamu na ukristo) pamoja na ukabila (uzanzibar pamoja na ubara) kwa maana sio lengo la mada hii.
Sisi watanzania wote ni ndugu na wamoja licha ya tofauti zetu chache (Minor Differences) na sote tuungane katika kutatua changamoto zetu za kitaifa ili tuweze kusonga mbele zaidi kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ulipoanza na hili neno 'Dah' ni kama unafikiri kila mtu anaijua hiyo lugha yenu...
Ndio hapo sasa mkuuUlipoanza na hili neno 'Dah' ni kama unafikiri kila mtu anaijua hiyo lugha yenu...
Sio lugha ya taifa lakini kwa Zanzibar inazungumzwa, inawezekana wewe usielewe lakini wakazi wengi wa Znz wanaelewa maana yake, kama wewe huishi huko achana na mambo yao.Kiarabu si lugha ya taifa (Bara na Visiwani)
Maneno hayo maana yake ni
جامعة زنجبار : Chuo kikuu cha zanzibar
Yaani jaamiatu zin,jibaar _ chuo kikuu cha kiislamu zanzibar.
Kama kusema kwa kiingereza UNIVERSITY.
Ndio maana kule arabuni saudia kuna chuo kinaitwa "JAAMIATU ISLAAMIYYAH" yaani "JAAMIATU " ile ile ya kule zanzibar.
Sasa hii "jaamiatu islamiyyah" maana yake ni islamic university yaani chuo kikuu cha kiislamu.
Ni kweli mkuu nilikosea kuweka hiyo " cha kiislamu"Hyo ya kiislam umeongeza wewe HAIPO HAPO.
USIPOTOSHE WATU.
NI "JAMIAT ZANZIBAR".
chuo kikuu Cha Zanzibar.
Sio chuo kikuu Cha kiislam Cha Zanzibar
Ni kweli mkuu nilikosea kuweka hiyo " cha kiislamu"
Kama kukosea ni kupotosha basi ni kweli nikitaka kupotosha.
Nimeedit.Hapo sawa.
Kuna watu humu wakishaanza kuleta udini.
Ndo maana nikakusahihisha.
Watu wengi hawajui kuwa kiarabu ni lugha Kama kimakonde,kichina,kijerumani n.k.
Mtu hakushangaa hyo ZANZIBAR UNIVERSITY.
lakini anakuja kushangaa "JAMIAT ZANZIBAR".
kumbe maana yake ni moja.
CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR
Nimeedit.
Lakini pia mtu anapofanya kinyume na usahihi jifunze kukosoa kistaarabu,sio kwamba imeniuma hapana ila tu katika kumkosoa mtu mkosoaji pia anaweza kukosea njia ya kukosoa.
Sawa ndugu.Utakuwa una matatizo yako binafsi.