Maneno haya ya Kiarabu yana maana gani katika nembo ya Zanzibar University ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni Kiingereza na Kiswahili?

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.

Ndugu zangu Watanzania, eti;

Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili?

MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR UNIVERSITY"
=========
The Zanzibar University (ZU) is a private university in Zanzibar, Tanzania. It opened in 1998 as the first university in Zanzibar, is a private university sponsored by the Darul Iman Charitable Association, an Islamic religious organization in Ontario, Canada. It is situated at Tunguu area, in the Central District, some 12 miles (19 km) from Zanzibar Town. The University campus, with a total area of 170 acres (0.69 km2) of land, is located among quiet countryside surroundings overlooking the Indian Ocean. There is public transport to the University.
=========

ANGALIZO/TAHADHARI: Ninaomba tuepeka kabisa comments za kisiasa, udini (uislamu na ukristo) pamoja na ukabila (uzanzibar pamoja na ubara) kwa maana sio lengo la mada hii.

Sisi watanzania wote ni ndugu na wamoja licha ya tofauti zetu chache (Minor Differences) na sote tuungane katika kutatua changamoto zetu za kitaifa ili tuweze kusonga mbele zaidi kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ushaambiwa private
 
Msiwapangie
 
Screenshot_20201021-161854.jpg

Maana yake ni Zanzibar University kama ilivyoonyeshwa hapo juu mkuu.
Pia kuhusu usahihi au uhalali wa kuandika hivyo naona haina shida kwa vile ni chuo binafsi chenye ufadhili wa kutoka huko huko kwa taasisi ya kiislam ambao kuendeleza utamaduni wa kiarabu inaweza kuwa moja ya malengo yao.

Mwisho, kiarabu ni lugha kama ilivyo lugha zingine, kiarabu sio uislam japo vina mahusiano.
 
Hyo ya kiislam umeongeza wewe HAIPO HAPO.
USIPOTOSHE WATU.
NI "JAMIAT ZANZIBAR".
chuo kikuu Cha Zanzibar.
Sio chuo kikuu Cha kiislam Cha Zanzibar
Maneno hayo maana yake ni

جامعة زنجبار : Chuo kikuu cha zanzibar

Yaani jaamiatu zin,jibaar _ chuo kikuu cha kiislamu zanzibar.

Kama kusema kwa kiingereza UNIVERSITY.

Ndio maana kule arabuni saudia kuna chuo kinaitwa "JAAMIATU ISLAAMIYYAH" yaani "JAAMIATU " ile ile ya kule zanzibar.

Sasa hii "jaamiatu islamiyyah" maana yake ni islamic university yaani chuo kikuu cha kiislamu.
 
Imeandikwa kwa kiarabu chuo kikuu Zanzibar (jamiat Zingibar)
 
Hyo ya kiislam umeongeza wewe HAIPO HAPO.
USIPOTOSHE WATU.
NI "JAMIAT ZANZIBAR".
chuo kikuu Cha Zanzibar.
Sio chuo kikuu Cha kiislam Cha Zanzibar
Ni kweli mkuu nilikosea kuweka hiyo " cha kiislamu"

Kama kukosea ni kupotosha basi ni kweli nikitaka kupotosha.
 
Hapo sawa.
Kuna watu humu wakishaanza kuleta udini.
Ndo maana nikakusahihisha.
Watu wengi hawajui kuwa kiarabu ni lugha Kama kimakonde,kichina,kijerumani n.k.
Mtu hakushangaa hyo ZANZIBAR UNIVERSITY.
lakini anakuja kushangaa "JAMIAT ZANZIBAR".
kumbe maana yake ni moja.
CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR

Nimeedit.

Lakini pia mtu anapofanya kinyume na usahihi jifunze kukosoa kistaarabu,sio kwamba imeniuma hapana ila tu katika kumkosoa mtu mkosoaji pia anaweza kukosea njia ya kukosoa.
 
Utakuwa una matatizo yako binafsi.

Back
Top Bottom