Maneno haya ya Kiarabu yana maana gani katika nembo ya Zanzibar University ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni Kiingereza na Kiswahili?

Kiarabu si lugha ya taifa (Bara na Visiwani)
Kwani kikiwekwa kiarabu mnateseka?mtakufa na vijiba vya roho.
lwa faida tu جامعة زنجبار maana yake ni Zanzibar university kwa English,halafu nani aliesema kuwa Zanzibar kuna lugha mbili?sehemu gn umeona hiyo?na ok let us say ni lugha mbili,je ni kosa kisheria kuandika kiarabu taasisi binafsi?hebu tupishe.
 
alalamike na mlango wa kuingilia ikulu umendikwa أدخلوها بسلام آمنين
tena ni aya hiyo ndani ya quran aseme na huo ni udini ikafutwe au chini iandikwe timotheo 2 : 7
 
Ulipoanza na hili neno 'Dah' ni kama unafikiri kila mtu anaijua hiyo lugha yenu...
Dah....ukiwa na muda wa ziada...jifunze lugha za aina mbalimbali...kimanyema...kimasai...kifaransa..kifipa...kidachi….utayaona maisha rahisi sana... 🤭
 
Kwanza hiyo ni Private Uni kama ilivyojieleza
Pili lugha inatumika kama watumiaji ni wengi au kwa taasisi iliyodhamini
Kuna sehemu nyingi duniani wanatumia majina kama ya mitaa kwa lugha mbili ya nchi na lugha nyingine ili waliopo maeneo wajue
Kwa mfano China Town ya London wameandika majina ya mitaa kwa kiingereza na Kichina
 
Just go to translation tab

English to Arab

Andika UNIVERSITY

Utajua maana ya hayo maneno ya kiarabu.

Mwenye shida ya kitoweo usimpe samaki mpe mshipi wa ndoano.

*Je wajua?*

-Langu kuu la kuingia jumba la Ikulu ya magogoni Dar Us Salaam* pameandikwa maneno ya kiarabu ayah ya 46 surat hijr isemayo

*Udkhulu-ha bi-salamin aminina*

Ingia ktk lango salama.



-Je wajua Kwamba St Joseph Cathedral ilikuwa ni jengo la msikiti na ni kanisa pekee ambalo lina limeelekea Qibla na langoni kulikuwa na maandishi ya kiarabu


Majengo yote haya yalijengwa kwa pesa za waarabu
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    8.6 KB · Views: 4
Mkuu mbona maelezo uliyotoa hapo yana majibu ya mawsali yako yote, kwanza umesema ni private university, pili iko owned na organization ya kidini ya kiislam, sasa mpaka hapo bado una swali la kutaka kujua kwa nini ina maneno ya kiarabu????? google hata logo ya Saut utaona pia ina biblia na msalaba!!!
 
Unapataje tabu ya kumjibu mjinga???

Ungemuacha tu. Yeye analouliza ni zaidi ya hilo alilouliza lakini kwa kuwa ni mjinga hawezi kuuliza hilo analotaka kuuliza kwa namna sahihi ya kuliulizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…