Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo Wote!
Kuna msemo na Imani kuwa kauli na maneno ya mara kwa mara huumba.
Kisaikolojia ni kweli. Kujitamkia au kutamkiwa maneno yaleyale mara kwa mara huyafanya yatokee. Na kuwa kweli.
Kwa sababu maneno huathiri mfumo wa ufahamu, kufikiri, na hatimaye mtazamo.
Je watu kusema taifa kuwa channel ya vichekesho mbinguni inaweza kuleta athari hizi karibuni kama tunavyoona muitikio wa wafanya vituko na wachekeshaji kupata ujasiri wa kutaka kuzama Bungeni kuleta Sheria na Sera za vituko?
Ngoja tuone!
Ijumaa Kareem
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Taikon Master
Manzese, Dsm