J J I T U Member Joined Dec 27, 2019 Posts 14 Reaction score 13 Dec 28, 2019 #1 Nyimbo nyingine hata kama umevurugwa vipi ujumbe wake tu unakurudisha njia kuu, hasa ule wimbo wa BUSHOKE, "DUNIA NJIA". Mimi tu ujumbe wake unanitisha mpaka kesho, yaani ni zaidi ya hutuba ya kanisani na msikitini. π€π€π€
Nyimbo nyingine hata kama umevurugwa vipi ujumbe wake tu unakurudisha njia kuu, hasa ule wimbo wa BUSHOKE, "DUNIA NJIA". Mimi tu ujumbe wake unanitisha mpaka kesho, yaani ni zaidi ya hutuba ya kanisani na msikitini. π€π€π€
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Dec 28, 2019 #2 Sawa.