Maneno kutoka moyoni kwangu kwa Miss Natafuta

Mfyuuuuu mwenyewe unadhani nimehangaika kuisoma. Kama uandishi ndio huo si hata huko ndani ni ushotoro tuu nimepita kushoto naendelea kukusanya vinavyonihusu na vyenye ueledi.

Ila jifunze kuanza na kumaliza sentensi kuweka nukta na koma....
miss madeko nashukuru kwa kunifahamisha,unajua haya ni matokeo ya kimaisha tu kwa sababu niliyasoma zamani sana na ukizingatia mishe mishe zangu kwa sasa sio za kiuandishi(kazi namaanisha)kwa hvyo kuna vitu vya msingi kama hivyo ambavyo umevitaja nakuwa sivizingatii sana kutokana na mazingira ya vibarua vyetu..

hata hesabu za vipeo na vipeuo nimeshasahau kitambo hicho lakini ingekuwa kuna sehemu nazitumia mpaka sasa basi nisingesahau hizo hesabu..

kwa hvyo mkuu nashkuru kwa ushauri huu mzuri na nitaufanyia kazi,mungu akulipe
 
Umeshawai kumuona physical au comments tu zimekupagawishi, kupitia comments nyingi zake nilizokuwa napitia yeye anasema kibonge kwaiyo kachukue zigo
mkuu unajua comment ni maandishi,na maandishi yana athari kubwa sana.

na ndyo mana utakuta mtu anapata kazi kwa maombi yake aliyoandika katika barua mara ananyakua kazi la maana.

hivi kwa watu wanaotongozana mitandaoni unadhani huanza kwa nini kama sio maandishi mkuu?,ataomba atumiwe picha kwa maandishi n.k

kwa hvyo mkuu huwenda maandishi yake tu yatanivuta pamoja nae
 
miss madeko nashukuru kwa kunifahamisha,unajua haya ni matokeo ya kimaisha tu kwa sababu niliyasoma zamani sana na ukizingatia mishe mishe zangu kwa sasa sio za kiuandishi(kazi namaanisha)kwa hvyo kuna vitu vya msingi kama hivyo ambavyo umevitaja nakuwa sivizingatii sana kutokana na mazingira ya vibarua vyetu..

hata hesabu za vipeo na vipeuo nimeshasahau kitambo hicho lakini ingekuwa kuna sehemu nazitumia mpaka sasa basi nisingesahau hizo hesabu..

kwa hvyo mkuu nashkuru kwa ushauri huu mzuri na nitaufanyia kazi,mungu akulipe

Pamoja mkuu.
 
mkuu unajua comment ni maandishi,na maandishi yana athari kubwa sana.

na ndyo mana utakuta mtu anapata kazi kwa maombi yake aliyoandika katika barua mara ananyakua kazi la maana.

hivi kwa watu wanaotongozana mitandaoni unadhani huanza kwa nini kama sio maandishi mkuu?,ataomba atumiwe picha kwa maandishi n.k

kwa hvyo mkuu huwenda maandishi yake tu yatanivuta pamoja nae
Hahahahahaha umeashamtengenezea picha kichwani au zile komenti zake kuwa hajakazwa muda mrefu ?
 
aha ha ha hamna mkuu,kwani yule ndo mwenyewe naemuona kwa ile picha katika jina lake?
 
Back
Top Bottom