souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
niombee tu mkuuUkifanikiwa nialike kwenye meza ya vyupa vya safari
haiyyaaah vipi bosi?
mkuu huyu dada ananitesa sana sana sanaUnataka mzigo wa kibonge ,majaliwa ya Allah
miss madeko nashukuru kwa kunifahamisha,unajua haya ni matokeo ya kimaisha tu kwa sababu niliyasoma zamani sana na ukizingatia mishe mishe zangu kwa sasa sio za kiuandishi(kazi namaanisha)kwa hvyo kuna vitu vya msingi kama hivyo ambavyo umevitaja nakuwa sivizingatii sana kutokana na mazingira ya vibarua vyetu..Mfyuuuuu mwenyewe unadhani nimehangaika kuisoma. Kama uandishi ndio huo si hata huko ndani ni ushotoro tuu nimepita kushoto naendelea kukusanya vinavyonihusu na vyenye ueledi.
Ila jifunze kuanza na kumaliza sentensi kuweka nukta na koma....
Umeshawai kumuona physical au comments tu zimekupagawishi, kupitia comments nyingi zake nilizokuwa napitia yeye anasema kibonge kwaiyo kachukue zigomkuu huyu dada ananitesa sana sana sana
hahahah kwakweli michezo ya kekundu nimeielewa.. binafsi ntakuja na ID 10 kulipiza .Ni kama yale ulioambiwa[emoji23]
mkuu unajua comment ni maandishi,na maandishi yana athari kubwa sana.Umeshawai kumuona physical au comments tu zimekupagawishi, kupitia comments nyingi zake nilizokuwa napitia yeye anasema kibonge kwaiyo kachukue zigo
miss madeko nashukuru kwa kunifahamisha,unajua haya ni matokeo ya kimaisha tu kwa sababu niliyasoma zamani sana na ukizingatia mishe mishe zangu kwa sasa sio za kiuandishi(kazi namaanisha)kwa hvyo kuna vitu vya msingi kama hivyo ambavyo umevitaja nakuwa sivizingatii sana kutokana na mazingira ya vibarua vyetu..
hata hesabu za vipeo na vipeuo nimeshasahau kitambo hicho lakini ingekuwa kuna sehemu nazitumia mpaka sasa basi nisingesahau hizo hesabu..
kwa hvyo mkuu nashkuru kwa ushauri huu mzuri na nitaufanyia kazi,mungu akulipe
Hahahahahaha umeashamtengenezea picha kichwani au zile komenti zake kuwa hajakazwa muda mrefu ?mkuu unajua comment ni maandishi,na maandishi yana athari kubwa sana.
na ndyo mana utakuta mtu anapata kazi kwa maombi yake aliyoandika katika barua mara ananyakua kazi la maana.
hivi kwa watu wanaotongozana mitandaoni unadhani huanza kwa nini kama sio maandishi mkuu?,ataomba atumiwe picha kwa maandishi n.k
kwa hvyo mkuu huwenda maandishi yake tu yatanivuta pamoja nae
aha ha ha hamna mkuu,kwani yule ndo mwenyewe naemuona kwa ile picha katika jina lake?Hahahahahaha umeashamtengenezea picha kichwani au zile komenti zake kuwa hajakazwa muda mrefu ?
[emoji23] [emoji23]Umeshawai kumuona physical au comments tu zimekupagawishi, kupitia comments nyingi zake nilizokuwa napitia yeye anasema kibonge kwaiyo kachukue zigo
Umeshanambia,kila id mpya jntakayoiona ntajua ni wewe,siku zikiunganishwa ndo utajua maana ya gilesihahahah kwakweli michezo ya kekundu nimeielewa.. binafsi ntakuja na ID 10 kulipiza .
Mambo JolieHata mi nahisi
Poa tu mirindaMambo Jolie
ππππππ gilesi hahahahha mtajua wenyewe sasa ntajisahaulisha tu kama mkuu alivyo kauka kazi inabaki kwenu ..buji WHY?Umeshanambia,kila id mpya jntakayoiona ntajua ni wewe,siku zikiunganishwa ndo utajua maana ya gilesi
Hahahahaaha daaaah!ππππππ gilesi hahahahha mtajua wenyewe sasa ntajisahaulisha tu kama mkuu alivyo kauka kazi inabaki kwenu ..buji WHY?
Aina noumah pamoja sana bossPamoja mkuu.
Nahisi nishawai kumuona Ila sina uhakika kama ni yeye by the chase your dream Ila kama kweli hajaguswa muda mrefu atakuwa mtamu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aha ha ha hamna mkuu,kwani yule ndo mwenyewe naemuona kwa ile picha katika jina lake?
maaana humu ndani userious niliisha uvua kwaiyo naendana tu na current flow.. ile pressure ilinisumbua aiseeeHahahahaaha daaaah!