Maneno kutoka moyoni kwangu kwa Miss Natafuta

Me sio kaka nitake radhi au unaona mwanamke humu jf ni miss natafuta pekeee na hakukubali
ouh sorry dada Shunie naomba radhi kwa hilo kama nimekera,nashukuru kwa kunielekeza kwa upole mana kuna watu ukimuita kaka na ilhali yeye ni dada atatukana sana matusi ataona kama umemdharau,lakini wewe dada una element za ustarabu kwa kweli.

MungUK akutangulie katika mambo yako na ayanyooshe kwa ujumla
 
maaana humu ndani userious niliisha uvua kwaiyo naendana tu na current flow.. ile pressure ilinisumbua aiseee
Hahahaa yan humu kuna vituko vya ajabu sana,yan unaweza kukuta mtu anajiuliza na kujijibu mwenyew,anajitukana na matusi ya nguon hahahaba kumbe bana shekhe ni yul yule kasoro kanzu
 
Nahisi nishawai kumuona Ila sina uhakika kama ni yeye by the chase your dream Ila kama kweli hajaguswa muda mrefu atakuwa mtamu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ah ha ha ha huwenda mungu ndo kanitunzia mimi huo utamu,mana hata mimi mwenyewe nataka huyo Miss Natafuta awasifie wanaume wote kupitia mimi nadhani wakati mwingine kuna wajinga walimsbua,lakini mimi nataka niwawakilishe wanaume kwa huyu miss wa moyo wangu
 
Ukikuta usichokitarajia je maana nyuma ya keyboard kuna mengi ambayo huyajui[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Usicheke Jolie jamaa kapagawa na comments za chibonge
si unakumbuka ule msemo wa mbuzi kafia kwa muuza supu..

muuza supu ni mimi na miss natafuta ndiyo mbuzi mwenyewe kanona.

sasa mara hii MUUZA SUPU NDIYE KAFIA KWA MBUZI.
 
Ukikuta usichokitarajia je maana nyuma ya keyboard kuna mengi ambayo huyajui[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
mkuu unajua moyo ni kama askari wa vitani.

moyo unaishi kutokana na mazingira mkuu,ni kama askari wa vitani akienda vitani akakuta mazingira sio rafiki basi atatafuta njia nyenyine ya kusurvive.

utashangaa hana godoro wala mto,lakini akifika vitani hali ikiwa ngumu halali kwa hvyo gorodo halina maana,au akilala basi nguo zake ndiyo godoro na lile begi ndiyo mto wa kuegamia kichwa.

na moyo unakuwa hivyo hivyo mkuu,moyo wenye kupenda basi unaishi kwa mujibu wa mazingira ya yule umpendae huo moyo.
 
Ni kweli nakubali hoja yako
 
Ameen akutangulie na wewe kwenye swala lako la kumtaka miss natafuta
 
Ameen akutangulie na wewe kwenye swala lako la kumtaka miss natafuta
Amen mkuu nashkuru.

nitakutafuta zaidi kwa maombi ya busara zako,bila shaka umeunga mkono kampeni ya moyo wangu dhidi ya jimbo hili la miss natafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…