Maneno/maandishi haya hata kwenye "Computer keyboard"!!

Maneno/maandishi haya hata kwenye "Computer keyboard"!!

GM7

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
492
Reaction score
24
Mfano: Kiswahili
2me = tume
cmu = simu
cc 2nakuja na 4mu ye2 = sisi tunakuja na fomu yetu
gari imetta = gari imetitia
tutawacliana 2jue m2 we2 kama u hai = tutawasiliana tujue mtu wetu yu hai.

Kiingereza:
from me 2u = from me to you
b4u = be for you

kwa kweli uandishi wa kufupisha kama huu unatuchanganya (una2changanya) sana.
Je uandishi huu utumike(u2mike) au usitumike(uc2mike) kwenye PC zetu (ze2)
 
Nauchukia sana uandishi huu.
Unawafanya watu kutojua spelling.
Huu ni ulemavu wa Lugha.
I hate the method.
 
Nauchukia sana uandishi huu.
Unawafanya watu kutojua spelling.
Huu ni ulemavu wa Lugha.
I hate the method.
Hata mimi nauchukia sana uandishi, si ajabu kuna wengine watautumia hata kwenye barua za maombi ya kazi, n.k.
 
ope u're fine, cu 2morrow.

btn huu ndo uandishi unaotumia muda na maneno machache na kwa ufanisi hasa kwa wanao juana. Simu zina limit ya characters, kwa mtindo huu unatimiza lengo la kutumia fedha kidogo kupeleka ujumbe mrefu. get encouraged dude.
 
Jamani hata kwenye kompyuta characters zina-limit kweli?
 
Back
Top Bottom