Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Bangi-simu
Nyuji-uji
Kyuli-puli au punyeto
Ngama-ugali
Mongwe-kuishiwa
Upalo-kupunjwa msosi
Nta-matandu ya wali
MZUMBE BOYS 2010
Daaah Dogo umenikumbusha mbali sana,

Salo-mboga zilikuwa zinauzwa canteen
Hunde-mwanamke mbaya kisura
Luapngo-kwa olevel, wanaosoma A3(vilaza)
Sound mchicha-kujua kutongoza
 
Wakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma.
3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa.
Sifongo=Uji usiokuwa na sukari.
4.Kuchoma=Kuingia bwenini ukiwa umevaa viatu/kandambili
5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
6.Nelkon,Abbot,Lambert,Lodgers,UP,BS,Mkate,Jacky Fernandes,Nalndel Kumar=miongoni mwa vitabu maarufu vya sayansi.
Mnaweza kuendeleza list...
Mkuu kwa point namba 5,Nina asilimia kubwa ulisoma NDANDA BOYS mkuu
 
Back
Top Bottom