cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Sio lazima avatar iakisi nilivyo au falsafa zanguSasa mbona Avatar yako iko tofauti na maneno yako?
Daaah Dogo umenikumbusha mbali sana,Bangi-simu
Nyuji-uji
Kyuli-puli au punyeto
Ngama-ugali
Mongwe-kuishiwa
Upalo-kupunjwa msosi
Nta-matandu ya wali
MZUMBE BOYS 2010
Haswaaaa. ikemefuna, black market.ihungo ww??
hukuacha mtoto nshambya??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haswaaaa. ikemefuna, black market.
Kama kawaUlikua unanawa supu nn?.
Sifongo= kunywa uji bila vitafunwa.Kwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni
Niliacha chata kuubwa transmitter "SIR NI" na kipigo kwa Kahororo hadi Tukawa "WANTED" Bk nzima.[emoji23] [emoji23]hukuacha mtoto nshambya??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mtoto sikuacha mkuu, tulikua tunaenda Kyaryonga kula ndizi(banana)hukuacha mtoto nshambya??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mzumbe sloganpumbu-irojeni...msuli-tv
Mkuu kwa point namba 5,Nina asilimia kubwa ulisoma NDANDA BOYS mkuuWakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma.
3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa.
Sifongo=Uji usiokuwa na sukari.
4.Kuchoma=Kuingia bwenini ukiwa umevaa viatu/kandambili
5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
6.Nelkon,Abbot,Lambert,Lodgers,UP,BS,Mkate,Jacky Fernandes,Nalndel Kumar=miongoni mwa vitabu maarufu vya sayansi.
Mnaweza kuendeleza list...
Tishaa sanaaKama kawa
Mwaka gani hyo Boy?..Niliacha chata kuubwa transmitter "SIR NI" na kipigo kwa Kahororo hadi Tukawa "WANTED" Bk nzima.[emoji23] [emoji23]
Kahororo, Kilosa (Kizu boys)Rungwe boys
mkuu pale tosa umemaliza mwaka gani?Kwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni