malamsha11
Member
- Apr 1, 2017
- 32
- 26
Ha haa haaa kijana wa "Anko John", niaje jombaaWewe lazima utakuwa ni mzee wa Umenyeni=Ilboru moja.
ifunda tech hiyo hahahahNyuka -uji
Tope -uji usiowekwa sukari
Kipute - msichana mrembo
Kipori -msichana mwenye sura mbaya
Kwa mama -mgahawani
Busati - ukoko wa wali
Kitomari - andazi
Kulazwa - kukosa nauli
Enzi izo TOSA boys tunaita sifongoSie tuliita kushika bomba kwa heshima ya wanaosafiri na treni daraja la 3.