Fongo -uji/ugaliFongo - Uji
Bati - Kengele ya chakula
Scramble - kurudia chakula
Chenga - wali
Lyamungo 2004-2007
Madame utakua umesoma mtwagi ww, umenikumbusha mbali.Mau=hedhi kwa akina dada.
Amehang (tamka ameheng'i)=kuishiwa pesa za matumizi boarding.
Kwanini mliita hivoMau-hedhi
Kuhenyi-kufulia
Hahahha.....ndio.Madame utakua umesoma mtwagi ww, umenikumbusha mbali.
Kudoji-kulala bwenn muda wa vipindi
Uchizi....chooni,,,ng'onda....soxWakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma.
3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa.
Sifongo=Uji usiokuwa na sukari.
4.Kuchoma=Kuingia bwenini ukiwa umevaa viatu/kandambili
5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
6.Nelkon,Abbot,Lambert,Lodgers,UP,BS,Mkate,Jacky Fernandes,Nalndel Kumar=miongoni mwa vitabu maarufu vya sayansi.
Mnaweza kuendeleza list...
Mh! Hii kama sio jakata basi ni JITEGEMEEKijogoo - kiporoo
Serengeti - wanawake
Madawili - wanawake
Fb - kazi kazi
Doja - mtoro
Mjeruman - kamanda mweusi