Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Funga- kujaziwa msosi
Panga- kupunjwa msosi
Chai chuma- chai bila kitafunwa
Kurinyuu-kurudia msosi
Ugali gomba-ugali na mboga za majani
Top ten-kuwahi msosi wa kwanza kwanza
 
Wakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma.
3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa.
Sifongo=Uji usiokuwa na sukari.
4.Kuchoma=Kuingia bwenini ukiwa umevaa viatu/kandambili
5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
6.Nelkon,Abbot,Lambert,Lodgers,UP,BS,Mkate,Jacky Fernandes,Nalndel Kumar=miongoni mwa vitabu maarufu vya sayansi.
Mnaweza kuendeleza list...
Uchizi....chooni,,,ng'onda....sox
 
Mzaire= room mate
Cheche= wali
Nguna= ugali
Kisololi sahani
Kiviringililo= sconzi.
Nyoka= form 1
Nyoka wa kiangazi= f5
 
Kijogoo - kiporo
Nyali - Wali
Salo- Mboga Mboga
Mongwe - Kuishiwa Hela
Zongwe - Narrow body fly (Nairobi fly)
Chatu Zone - Sehemu Yenye Chatu
Drip - Maji Ya Kandolo..
Kilei - Kilakala
Kiange/Bhangi - Simu
Kuchoma - Kuingia Na Viatu Bwenini
Ku Move - Kuamka Usiku Kwaajili Ya Msuli
Kionji - Kulala / Mtu Anayependa Kulala.
Ngama - Ugali
Addit - Nyongeza Ya Msosi
Kumiss- Kukosa Msosi
 
Back
Top Bottom