Wewe itakua umepitia boarding za Kagera.Mzaire= room mate
Cheche= wali
Nguna= ugali
Kisololi sahani
Kiviringililo= sconzi.
Nyoka= form 1
Nyoka wa kiangazi= f5
Top layer=Mafuta yaliyojuu ya binz ambayo kiongozi wa chakula huchota kabla ya kutoa chakula5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
Bila shaka wewe ni kijana wa Mzumbe, kitambo kulikuwa na kipindi radio free Africa cha kukumbushia mambo ya kitambo kuna mwanamke alikuwa anaongea hiv " hawakutaka tuondoke, wakatoa upepo gari yetu, wakatushika mikono na wakainama vifuani mwetu(Vijana wamzumbe hao) "Kijogoo - kiporo
Nyali - Wali
Salo- Mboga Mboga
Mongwe - Kuishiwa Hela
Zongwe - Narrow body fly (Nairobi fly)
Chatu Zone - Sehemu Yenye Chatu
Drip - Maji Ya Kandolo..
Kilei - Kilakala
Kiange/Bhangi - Simu
Kuchoma - Kuingia Na Viatu Bwenini
Ku Move - Kuamka Usiku Kwaajili Ya Msuli
Kionji - Kulala / Mtu Anayependa Kulala.
Ngama - Ugali
Addit - Nyongeza Ya Msosi
Kumiss- Kukosa Msosi
Ha Ha Ha!Bila shaka wewe ni kijana wa Mzumbe, kitambo kulikuwa na kipindi radio free Africa cha kukumbushia mambo ya kitambo kuna mwanamke alikuwa anaongea hiv " hawakutaka tuondoke, wakatoa upepo gari yetu, wakatushika mikono na wakainama vifuani mwetu(Vijana wamzumbe hao) "
Daaah haya maisha Acha tu
Mkuu hapa tuliosoma Lyamungo,tumekupata vyemaFongo -uji/ugali
Maputo-toilet
Zizu-mzee manase
Bundi-mtu anaekesha kwa kusoma
2006-2008
Nyuka😂😂pola----- uji