Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
Top layer=Mafuta yaliyojuu ya binz ambayo kiongozi wa chakula huchota kabla ya kutoa chakula
Manispaa=Watoto wanaokuja kuchukua mabaki ya chakula.
 
Kijogoo - kiporo
Nyali - Wali
Salo- Mboga Mboga
Mongwe - Kuishiwa Hela
Zongwe - Narrow body fly (Nairobi fly)
Chatu Zone - Sehemu Yenye Chatu
Drip - Maji Ya Kandolo..
Kilei - Kilakala
Kiange/Bhangi - Simu
Kuchoma - Kuingia Na Viatu Bwenini
Ku Move - Kuamka Usiku Kwaajili Ya Msuli
Kionji - Kulala / Mtu Anayependa Kulala.
Ngama - Ugali
Addit - Nyongeza Ya Msosi
Kumiss- Kukosa Msosi
Bila shaka wewe ni kijana wa Mzumbe, kitambo kulikuwa na kipindi radio free Africa cha kukumbushia mambo ya kitambo kuna mwanamke alikuwa anaongea hiv " hawakutaka tuondoke, wakatoa upepo gari yetu, wakatushika mikono na wakainama vifuani mwetu(Vijana wamzumbe hao) "

Daaah haya maisha Acha tu
 
Kutoboa ozone_kukesha kusoma
Mau( mau mau)_period
Vitanashati vya ( uji, maharage, chai)_viungo
Mashimo_chooni
Minyondo_ nguo za mtumba
Mkako/jirani/kijana_boyfriend
 
Bila shaka wewe ni kijana wa Mzumbe, kitambo kulikuwa na kipindi radio free Africa cha kukumbushia mambo ya kitambo kuna mwanamke alikuwa anaongea hiv " hawakutaka tuondoke, wakatoa upepo gari yetu, wakatushika mikono na wakainama vifuani mwetu(Vijana wamzumbe hao) "

Daaah haya maisha Acha tu
Ha Ha Ha!

Mambo Ya Mzukila Hayo.
Huyo Binti Alifukua Makaburi Yetu.
Ila Genye Kitu Kingine, Yaani Mpaka Wasichana Wanatoboa Tyres Ili Tubakie Kwao. Hii Kitu Ilinikuta Nikiwa Form Two Sikufanikiwa Kukanyaga Lile Eneo Hiyo Siku.
 
Fongo -uji/ugali
Maputo-toilet
Zizu-mzee manase
Bundi-mtu anaekesha kwa kusoma
2006-2008
Mkuu hapa tuliosoma Lyamungo,tumekupata vyema

Umenikumbusha Maputo,ilikua ukifika lazima uvue nguo zote kwanza ndio uingie,maana harufu yake ilikua balaa
 
nyali=wali
kata gogo=saidia haja kubwa
downika=kwenda mtaani nje na shule
top layer=vitoto vya kuvizia mabaki ya msosi
ujamaa=kutumia mali ya mwenzio bila ruhusa yake mf kavua viatu we unavaa na kuxepa navyo siku akiviona unampa mzigo wake hadi raha
zou=shule za girls
dege=chooni
piga deki=uji bila kitafunwa yaani kama umemwaga maji tumboni tu
 
Kupiga Mburu - Kuvizia wenzio wamepika, then mnaibuka kama nyuki kula ( Commonly for St Kayumba )

Top Layer - Msosi wa juu hasa maharage au nyama yenye mafuta, nyanya nyanya na vitunguu.

Kutiririka - Kutoroka Shule Na Kwenda Town Bila Ruhusa Hata Kama Ni Usiku.

Kutoboa - Kukesha Unasoma.

Kupiga Msuli - Kujisomea Kwa Bidii Kali.

Kabeji - CBG Combination

PCB - People Confused Brains

PCM - People Calculate (like) Machine.

Bonus.

Chura - Mwalimu wetu wa Biology High School
 
Mchinjo - Kuwekea Chakula Kidogo kisichoshibisha.

Kupiga Mluzi - Kunywa Uzi Bila Kitafunwa
 
Kupiga gitaa, kujikuna pumbu
Kuchill, kukaa bweni kwa hofu ya mwl kuja
Kutega, kujifanya umelala wkt kengele ya msosi ikipigwa unajiamkia bila mtu kukustua
Mnaa, snitch kwa ticha.
 
Kizigo, adhabu
Caribbean, seheme ya kutoa adhabu ilikua ngumu balaa, unalima.
 
Mchinjo, msosi finyu
Kudouble, kuweka sahani mbili za msosi.
Mabati ya msouth ukoko.
Viti maalumu, viongozi wanaoteuliwa bila uchaguzi ( hapa kiongozi alieteuliwa ana maindi kinoma)
Kiberiti, simu ( hapa ilikua kosa kubwa sana kuwa na simu Kigoma Sec 2013+)
 
Back
Top Bottom