Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Saramanda, mkia, njuka, unyoya=form one
Abroad =nje ya shule
Solution =maji ya moto+sukari
London =vyoo vya shimo
IYUNGA TECH 2001
 
Chingambo-uji usikuwa na sukari
Kuhenyi--kukosa msosi
Bondo--ugali
Uyengu--layer ya juu maharage
Milango--vyoo vya shimo
Makemba--magogo
 
kasu = wali
Sama kavu = nyama
sama maji - samaki
uyengu - mafuta yaelea juu ya mchuzi wa nyama au maharage
 
Braber- mafuta ya kupikia ambayo hayajatiwa kwenye maharage.
Top layer - Mafuta juu ya mboga (maharage,nyama,kabechi)
Chasa-wali
Irele(irellevant) point less
Polygon,amoeba,shapeless (demu sura mbaya)
Pinto-maharage yasiyo iva.
 
Back
Top Bottom