Maneno maarufu secondary za bweni

Maneno maarufu secondary za bweni

Mzula=govi, mwanaume ambaye hajatahiriwa
Mwalo=uji usio na sukari
Kimbuzi=kidemu
Mchinjo=kupunjwa chakula sana sana wali au nyama
Konga man=mwanaume mwenye uume mrefu
Mgalala=punyeto
 
Kuna dogo aliitwa staff room na walimu akaulizwa kwanini amempiga mwenzake akasema "nimemkuta anatombesha kufuli kwenye tranka langu" yani anaona hiyo ni lugha sahihi kabisa.
 
Pora-uji
Mapande-mihogo ya kuchemsha
Nyauuuu!-muda wa uji
(paka aliwah kuingia kwenye pipa la uji)
Ahahahaha hala kibiti boyz HIGH XUL
 
Nyuka -uji
Tope -uji usiowekwa sukari
Kipute - msichana mrembo
Kipori -msichana mwenye sura mbaya
Kwa mama -mgahawani
Busati - ukoko wa wali
Kitomari - andazi
Kulazwa - kukosa nauli
ifunda tech hiyo hahahah
 
Songea boy's watanielewa
Mayao= mihogo
Viuta = vitafunio vya mafuta kama vitumbua ,maandazi
Milango= chooni
 
+kiwese.... mafuta
+kevu..... spy wa walimu
+katara.... zawadi(hasa tukirudi shule baada ya likizo)
+mpazo..... kupewa adhabu
+kombora..... bakuli kubwa la chakula
+kimavi.... mwanafunzi anayewahi sana bwaloni
+tope.... uji usokuwa na sukari
+kisolu.... mchanganyiko wa maji na sukari
+beche..... wali
+rasha.....mwalim au kiongozi mkali
+kulazwa..... kukosa nauli ya kurudi nyumbani kipindi cha likizo
+shumbi....makalio makubwa
+kuuzoa.... kuwa na dem
+pungo.... baridi kali

ifunda tech
 
Banzi=mandazi
Furu= dagaa wakubwa
Puliza= kunywa uji bila kitafunwa
Pora=uji
Mgarara= punyeto
Drop= kutoroka shuleni
Bundi= kujisomea
Mchinjo= kupunjwa chakula
Over sleep= kuchelewa kuamka
Kanyaboya=kuwa na majibu ya mtihani
Addition= kurudia msosi
Wash= kuangalia wanawake/mademu wanaopita barabarani

NSUMBA SEC.
 
FBI-- kifupi cha Feeder Bora Iyunga, wale watu wanopenda msosi, uji anajaza contena nzima..,
kwa waliosoma Iyunga tech.
 
Homework - kiporo cha kande au ugali

Choo cha Day - Choo cha shimo

Nyali- Wali

Kileji - kijijini
 
Back
Top Bottom