Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamashi. Charan Singh - Cherehani

Thomas Brown

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2025
Posts
344
Reaction score
856
(1) Cherehan - Charan Singh.

Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani.

1739349065721.jpg

(2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi.

(3) Ndafu - Mzungu alikula nyama safi ya mbuzi kisha akasema "Wonderful" mchagga alishindwa kusema wonderful akaishia kusema tu "Ndafu"

(4) Temeke Wailes - Kulikuwa na Mitambo ya "Wireless" maeneo yale.

(5) Msasani - Kwa Mussa Hassan (Mmakonde akasema "Nchanani)

(6) Frampeni - Frying Pan.

(7) Shokamzoba - Shock absorber.

(8) Kibololoni - Kibo alone. Mlima Kilimanjaro una vilele viwili yaani Kibo na Mawenzi, hivyo ukikaa eneo lile unaona kilele cha Kibo pekee (Kibo Alone) ndio maana mchagga akapaita Kiboboli. Ndugu msomaji, uliwahi kukaa "Kibololoni?"

(9) Dala - Dollar. Zamani dola moja ilikuwa ni sawa na shilingi 5 za Tanzania ndio maana sarafu ya shilingi 5 ilikuwa inaitwa Dala na shilingi 20 ilikuwa inaitwa paundi.

(10) Karakata - Kalkuta. Hili ni eneo la viwanda huko India. Inasemekana Mwalimu Nyerere alikuwa na mpango wa kuiga utaratibu kama wa India wa kulifanya eneo la Karakata kuwa la viwanda kama Kalkuta India.

Ongezea na wewe mkuu wangu....
 
(1) Cherehan - Charan Singh.

Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani.

(2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi.

(3) Ndafu - Mzungu alikula nyama safi ya mbuzi kisha akasepa "Wonderful" mchagga alishindwa kusema wonderful akaishia kusema tu "Ndafu"

(4) Temeke Wailes - Kulikuwa na Mitambo ya "Wireless" maeneo yale.

(5) Msasani - Kwa Mussa Hassan (Mmakonde akasema "Nchanani)

(6) Frampeni - Frying Pan.

(7) Shokamzoba - Shock absorber.

(8) Kibololoni - Kibo alone.

Kawe=Cow way
Chang'ombe=Njia ya Ng'ombe
Kolomije =Call me J
Shede=Shade
 
Mkuu namba 7 wanaita SHOKAPU.
 
Hongera kwa uzi mzuri. Niongezee namba 9. Wakati dollar ya Marekani ikiwa ni sawa na shilingi 5 za Tanzania, nauli ya usafiri wa umma ilikuwa shilingi 5 (yaani Dollar). Makondakta wakawa wakiita abiria wanataja na nauli "Dollar...dollar". Ndio mwanzo wa jina "Daladala".
 
Yes. Nilisahau kuiweka hii ingawa nilikuwa ninaijua.

Mkuu, Asante sana kwa kunikumbusha.
 
(1) Cherehan - Charan Singh.

Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani.

(2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi.

(3) Ndafu - Mzungu alikula nyama safi ya mbuzi kisha akasema "Wonderful" mchagga alishindwa kusema wonderful akaishia kusema tu "Ndafu"

(4) Temeke Wailes - Kulikuwa na Mitambo ya "Wireless" maeneo yale.

(5) Msasani - Kwa Mussa Hassan (Mmakonde akasema "Nchanani)

(6) Frampeni - Frying Pan.

(7) Shokamzoba - Shock absorber.

(8) Kibololoni - Kibo alone.

(9) Dala - Dollar. Zamani dola moja ilikuwa ni sawa na shilingi 5 za Tanzania ndio maana sarafu ya shilingi 5 ilikuwa inaitwa Dala na shilingi 20 ilikuwa inaitwa paundi.

(10) Karakata - Kalkuta. Hili ni eneo la viwanda huko India. Inasemekana Mwalimu Nyerere alikuwa na mpango wa kuiga utaratibu kama wa India wa kulifanya eneo la Karakata kuwa la viwanda kama Kalkuta India.

Ongezea na wewe mkuu wangu....
Temeke Wailesi, mpaka karibu na mwishoni mwa miaka ya 50 uwanja wa ndege wa Dar es Salaam ulikuwa eneo ilipo kambi ya jeshi Twalipo na njia ya kurukia ilikuwa kati ya Bakwata/Duce Chang'ombe mpaka jeshini na nyingine ilianzia jeshini kuelekea usawa wa uwanja wa maonesho ya biashara wa kimataifa mpaka bonde la Kurasini. Kutokana na uwanja wa ndege kuwepo hapo bondeni, upande wa juu yaani Temeke ndipo kulikuwa na mnara wa mawasiliano ya upepo ya ndege(wireless), na ndicho chanzo cha Wailesi, mahali hapo hivi sasa ipo shule.
 
Back
Top Bottom