Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamashi. Charan Singh - Cherehani

Call me J .. kolomije
Boswadaa. .. Boss wa dar.
 
Kule Saadani kulikuwa na Mwarabu mmoja sitting room kwake aliweka saa ambayo ilikuwa ikipiga alarm(kengele) kila baada ya saa moja na barazani kulikuwa kuna duka,sasa wateja walikuwa wakisikia hiyo kengele wakawa wanamuuliza Mwarabu nini hiyo? Mwarabu anawajibu Saa dani(akimaanisha saa ndani).
Huo ndiyo msingi wa jina la Saadani.
 
Idodomya - Dodoma
Daslamu - Mzizima
Zenji - zanzibar
R-Chuga - ni neno lisilo maana.
 
MWINYI AMANI ni jina la mwenyeji wa kwanza kuishi maeneo ya buguruni ambapo leo hii watu wanapaita BUGURUNI KWA MNYAMANI ๐Ÿ“

TABATA hii ni sehemu ambayo kulikuwa na duka la kwanza kabisa pale maeneo ya matumbi ambapo duka ilo muuzaji alikuwa ni muhindi ni duka pekee ambalo kila bidhaa uliyokuwa unahitaji utaipata kulikuwa kunafulika watu wengi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo kwa haraka haraka muhindi alikuwa akiwajibu tu wateja wake wakiuliza kitu fulani kipo? muhindi alikuwa akiwajibu ๐Ÿ˜ Ta pata! akimaanisha utapata ndio hadi TABATA ๐Ÿ˜‚ Ta pata
 
Aisee. Kna mengi sikubaliani nayo japo yanachekesha. Intamkwa Kiboriloni
 
KIPONZERO ni Kijiji kilichopo barabara ya Iringa kwenda Mbeya, Wakati wa ujenzi wa barabara wapimaji walitumia sana neno KEEP ON ZERO kitu kilichofanya wenyeji wafikiri wale wazungu wanasema kiponzero.
Inachekesha lakini sidhani kama ni kweli.
 
Saiti mira - side mirror
Endiketa - indicator
Ribiti - rivet
Hii ribiti nimecheka. Kwa kifupi ukienda hizi local gereji kuna majina ya kuchakua sana. kiwa mji wa Moshi halafu ukute fundi ni m-kibosho ni burudani. Steering wheel = stilingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ