Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamashi. Charan Singh - Cherehani

GETA=GEITA

wenyeji wa maeneo hayo waliamini madini yanaua(GETA),wazungu wakitamka geta ikawa ina sound geita
 
KAWE(kwa mwamposa) ni COW WAY.

Ng'ombe zinakusanyika kuchinjwa ila hazijui.
 
Neno "cherahani" ni toleo la Kiswahili la neno "charahani", ambalo limeingia katika lugha ya Kiswahili kutoka lugha za Kiajemi. Asili ya neno hili ina mizizi yake katika maneno ya Kiajemi چرخ, charakh, "gurudumu" na خان, khan "nyumba"; kwa Kiingereza "sewing machine") ni mashine ya kushonea vitu kama kitambaa, nguo, viatu au mifuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…