Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Kiswahili ni lugha Pana Sana na ila uvivu unafanya watu kukosa msamiati. Masuala yakukopa au kutohoa lugha zote hutumia mfumo huo hasa Kwa vitu visivyo vya asili yake. Kiingereza Kina maneno mengi tu toka kigiriki na kilatiniWanayatamka kwa hicho hicho kiingereza chao tu.
Kiingereza ni lugha pana sana ambayo Ina utajiri wa maneno ila kiswahili hakina utajiri wa maneno ndo maana baadhi ya maneno ya kiingereza yanatoholewa na kukopwa (verbertim) katika lugha ya kiswahili.
Kwa mfano neno Kama f*cking haliwezi kutafsiriwa kwa kiswahili Moja kwa Moja.
Kupiga miti, kunjunjana, mzagamuano😂😂😂Kwa mfano neno Kama f*cking haliwezi kutafsiriwa kwa kiswahili Moja kwa Moja.
Haya maneno uliyotaja hapo juu yanapatikana Kwenye kamusi gani mkuu?Kupiga miti, kunjunjana, mzagamuano😂😂😂
Ease up tigress. It was all written in humour.Haya maneno uliyotaja hapo juu yanapatikana Kwenye kamusi gani mkuu?
sisi ni watu tuliojaaliwa kuwa na kaaibu ndio maana tuna kitu kinaitwa maneno "makali" sio makali ispokuwa nature yetu!Wanayatamka kwa hicho hicho kiingereza chao tu.
Kiingereza ni lugha pana sana ambayo Ina utajiri wa maneno ila kiswahili hakina utajiri wa maneno ndo maana baadhi ya maneno ya kiingereza yanatoholewa na kukopwa (verbertim) katika lugha ya kiswahili.
Kwa mfano neno Kama f*cking haliwezi kutafsiriwa kwa kiswahili Moja kwa Moja.
[emoji3] umenikumbusha: Kuna jamaa aliuliza kwamba "two night" inatafsiriwaje kwa kisw?Kiswahili ni lugha Pana Sana na ila uvivu unafanya watu kukosa msamiati. Masuala yakukopa au kutohoa lugha zote hutumia mfumo huo hasa Kwa vitu visivyo vya asili yake. Kiingereza Kina maneno mengi tu toka kigiriki na kilatini
[emoji23]Kupiga miti, kunjunjana, mzagamuano,[ kunyanduana]
https://jamii.app/JFUserGuide si ngono/kujamiiana! Mbna rahisi sana tu!.Wanayatamka kwa hicho hicho kiingereza chao tu.
Kiingereza ni lugha pana sana ambayo Ina utajiri wa maneno ila kiswahili hakina utajiri wa maneno ndo maana baadhi ya maneno ya kiingereza yanatoholewa na kukopwa (verbertim) katika lugha ya kiswahili.
Kwa mfano neno Kama f*cking haliwezi kutafsiriwa kwa kiswahili Moja kwa Moja.
Wazungu ushubwadaHai..
Mtu anaweza kuelezea hoja yake kwa Kiswahili. Akifika pahala fulani anabadili lugha kuashiria kwamba anapunguza ukali wa neno!
Je, neno kali, ni kwanini tunaliita "kali" na bado tunaweza kunalisema/kulitamka kwa Kingereza?
Je, Kingereza ndiyo lugha inayotumika kutamkia maneno makali?
Je, Waingereza wao maneno makali wanayatamka kwa lugha gani?
(najaribu kufikiri kwa sauti)
[emoji3]hahWazungu ushubwada
The word f*cking is synonymous, it has more than three meaning.JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala si ngono/kujamiiana! Mbna rahisi sana tu!.