Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Hai..
Mtu anaweza kuelezea hoja yake kwa Kiswahili. Akifika pahala fulani anabadili lugha kuashiria kwamba anapunguza ukali wa neno!
Je, neno kali, ni kwanini tunaliita "kali" na bado tunaweza kunalisema/kulitamka kwa Kingereza?
Je, Kingereza ndiyo lugha inayotumika kutamkia maneno makali?
Je, Waingereza wao maneno makali wanayatamka kwa lugha gani?
(najaribu kufikiri kwa sauti)