Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
D mbili hata sijui maana yakeMchongo......
Koneksheni.....
Kumsagia kunguni......
Upwiru...
Mduwanzi......
Kudanga....
Msambwanda......
Kubeti......
Kwa Mpalange....
Papuchi.......
Mshua.....
Bi Mkubwa......
Mdingi....
Msh'hangazi...
Kumwagilia moyo...
Moja haikai.mbili haikai,,,
Kupiga tagi...
Kupiga selfiii.....
ONGEZEA ONGEZEA HAPO........AU SIO VP.....