05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
Naandika Nikiwa nalenga nyanja ya malezi, Mapenzi, siasa, uchumi na kila nyanja inayohitaji character yako asilia ili kudeliver kile kitu kinapaswa... matharan unapolea watoto heb kuwa vile ulivyo acha kutaka kuwa kama jirani yako.
ktk nyanja zote za maisha Watu wengi hugeuka makatiri wakidhani ndo ujasiri.
Watu wengi hugeuka kuwa na roho mbaya wakijua ndo kuwa na msimamo..
Watu wengi hutenda kwa roho mbaya wakijua ndo ishara ya uimara. Ila haipo hivyo.
Katika malezi, mapenzi, na kila kna ya maisha kila mtu huwa na sifa (character) ambayo itachangia kufanikiwa ikiwa ataitumia vyema ila pia itamwangusha ikiwa ataenenda nayo vibaya.
Kama mtu anasifa ya ALPHA MALE ni alpha tu.. na kama mtu ana sifa ya OMEGA MALE ni omega tu, na sifa zingine zote zikiwemo ... Beta Male, Sigma Male, Gamma Male na Delta Male......
Sifa husika zikitumiwa vyema huleta mema kwa kila sifa , na sifa ikitumiwa vibaya huwa na matokeo mabaya kwa kila sifa.... matokeo mazuri na mabaya hutofautiana kwa angles ikifwatana na tajiriba /character husika ulonayo.
kwa kawaida sifa hizi haziondoki kwa mtu kuwa mwema au kuwa mbaya kwa wanaomzunguka...
Ila tu ukienda vibaya kila mtu utakuwa na matokeo mabaya kulingana na character yako kwa wanaokuzunguka na ikiwa utatenda vyema basi utaleta matokeo mema kwa angle yako kwa wale wanaokuzunguka.
lakini ukilazimisha uonekane tofaut na vile ulivyo at most utaharib mambo kuliko wewe kuonekana vile unavyotarajia, as hakuna jambo utalifanya litabadiri uhalisia wako... wewe ni yule yule so relax be who you are and angalia kile unaweza fanya acha kuforce maisha.
#ukitenda vyema hutakuwa mdhaif ikiwa wewe ni imara, na ukitenda vibaya haikufanyi uwe mwenye nguvu ikiwa wewe ni mdhaifu.#
Andiko hili linawahusu watu wanaodhani kwakuwatisha, kuwazonga, kuwaumiza au kuwanyasa wengine ndo kunaweza kuwapa nguvu.... au kwakutenda wema wa kinafiki ndo kunaweza kuwapa credit .. hapana .
tenda linalokubidi na utakua sawa tu usitake kutenda kama flani au uonekane tofaut na vile ulivyo ktk uhalisia.
kuna aina kadhaa za sifa au characters kwa wanadamu and mostly men ... sifa hizi zipo fixed automatic
Katika kutamani maisha ya mtu mwingine vile anaishi na kuyatawala mazingira yake huwa watu wanadhani wanaweza kuwa watu wa category tofaut na vile walivyo kwa asili na kujikuta wanaforce kufit kwenye characters ambazo sio zao.
Mara nyingi watu wanaoforce kuhama character huwa wanajikuta wanaish maisha magum Sana ndani ya Familia zao na hata kwenye jamii...
Mfano mtu wa tajiriba nnayoirenga akipewa uongozi huweza kuanza kuforce kuonekana huku akitumia mabavu as analazimisha aonekane yupo huku akisahau kabisa kuwa watu hawafanani na katika kuto kufanana kila mtu Ana Mazuri yake.
Haijarish wewe ni mtu wa tajiriba gan Kati ya zilizopo ila usiache kutenda kwa upendo na Kujari... usiache kuonyesha utu kwa wale wanaokuzunguka sabab haidogoshi heshma yako.
Hata ukiwa na wanao, mke au wafanyakazi wako usiache kusema "Samahani" (sorry...) ukikosea,
usiache kusema tafadhari... ukihitaji msaada
Usiache kusema "niwie radhi..." (pardon ..) kila unapokuwa umeenda kinyume na makualiano au matarajio ya wazi.
Usiache kusema "karibu...." (welcome) kila mtu anapokuhitaji umakini wako.
Usiache kusema "tafadhari" (excuse me....) kila unapohitaji msaada .
Usiache kusema "Ahsante.." (thank you) kila unapofanyiwa wema / vyema
Nawasilisha kama ujumbe wa jumapili.

- Alpha Male – Kiongozi wa asili mwenye ujasiri na hulka ya kutawala.
- Beta Male – Mnyenyekevu, mtiifu, na hupendelea kushirikiana kuliko kushindana.
- Sigma Male – Hujitegemea, hapendi makundi, lakini ana ujasiri wa ndani.
- Gamma Male – Mwerevu lakini mara nyingine huonekana kama asiyeeleweka kijamii.
- Omega Male – Hupinga mfumo wa madaraja ya kijamii na huchagua njia yake.
- Delta Male – Mtu wa kawaida anayejituma lakini huathiriwa na maumivu ya zamani.