Maneno mkuki!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:

"...nina mimba yako!"
 
Jibu langu "Baby let me get my calclulator, ni ya miezi mingapi?Kama hakieleweki i'm outta the door man!!Everybody is hittin' that"
 
...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Killuminati unakimbia "majukumu" kwa kasi hivyo?
 
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:

"...nina mimba yako!"

Kuna kijana aliomba arejeshewe mimba yake kama kweli imetokana na yeye.... lol

Ndio maana tunashauriwa kuwa tusianzishe mahusiano ya Ngono kabla ya ndoa... Ili kuepukana na majukumu yasio tarajiwa... na kusababisha watoto kuzaliwa na kukataliwa na baba zao...!
 
Kuna kijana aliomba arejeshewe mimba yake kama kweli imetokana na yeye.... lol

...kuna mwingine anakuwa mkali na kumuuliza Mwanamke...

"...kwani hukujua hesabu ya siku zako za hatari?"

...as if yeye angevaa Condom angewashwa upupu!
 
Mimi yalishanikuta wakati nikiwa secondary tena kama miezi kadhaa hivi na demu tupige national.Kitu kilikuwa changu bila ubishi manake nilikuwa nagonga kavukavu kila jioni baada ya discussion.Niliomba ardhi itoboke nizamie mazee!
 
Ndio maana tunashauriwa kuwa tusianzishe mahusiano ya Ngono kabla ya ndoa...

Hii ni noma, baadaye yaweza kukusababishia kukimbia ndoa, na watu inawatokea- lazima uonje ili mjuane. Kama ukija kugundua mwenzi wako mchovu kwenye "tendo la ndoa" na hilo ni jambo muhimu sana kwenye ndoa? Ni muhimu kuonja ASAP lakini kama kweli hamtaki mtoto mnatumia njia zinazowezekana!
 
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:

"...nina mimba yako!"

Mbu, huwezi kutabiri reaction katika issue kama hiyo. Reaction yako inategemea mambo mengi sana. Mfano je kweli ni yako i.e una hakika unakula peke yako au ndo unabambikwa mzigo? Kama ni kweli, uko tayari kuingia kwenye hiyo biashara ya pampers? Uwezo huo unao? Majukumu yako mengine ni yapi eg uko shule au mtaaani, na una kazi au ni kula kulala?

Kwa hiyo kama maswali yote yasiyopungua 1000 yakipata majibu ya uhakika ndio unaweza sasa kwenda hatua moja mbele. Tunazaa au tunachomoa? That's the fact of life, watu wanachomoa kama hawana akili! Kwa hilo mzee mbinguni hakuna atakayefika (hata maaskofu tuko nao kwenye hili pool)!
 
Mbu, huwezi kutabiri reaction katika issue kama hiyo...

...πŸ™‚ Dark City, ningeuliza
...ulipoambiwa "...nina mimba yako!" uli react vipi?
...wengine wangejifanya watakatifu japo yeshawakuta, bora hivi ...unaona majibu yanavyokuja?!
 
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:

"...nina mimba yako!"
...Yeye aliipataje????Teh! tehhh!! tehhh!!!!
 
Mimi yalishanikuta wakati nikiwa secondary tena kama miezi kadhaa hivi na demu tupige national.Kitu kilikuwa changu bila ubishi manake nilikuwa nagonga kavukavu kila jioni baada ya discussion.Niliomba ardhi itoboke nizamie mazee!

...duuuh, pole sana mzee... ardhi ikumeze upotee?! ...sasa ulimjibu vipi huyo finalist mwenzio? naye ali react vipi? manake majibu yalotoka ndio Mkuki wenyewe huo moyoni!
 
Mimi yalishanikuta wakati nikiwa secondary tena kama miezi kadhaa hivi na demu tupige national.Kitu kilikuwa changu bila ubishi manake nilikuwa nagonga kavukavu kila jioni baada ya discussion.Niliomba ardhi itoboke nizamie mazee!

Mhh! Hatari kweli kweli! mzee kwa sasa ushaacha au....
 
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:

"...nina mimba yako!"

Hakuna jambo la msingi kuwa kama kuwa na mtoto hasa kipndi hiki ambapo ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosa watoto. Tatizo ni pale mtoto anapopatikana wakati mhuska esp baba hakuwa na maandalizi ya kutosha
 
Mhh! Hatari kweli kweli! mzee kwa sasa ushaacha au....

...once bitten, twice smitten πŸ™‚
 
Mimi yalishanikuta wakati nikiwa secondary tena kama miezi kadhaa hivi na demu tupige national.Kitu kilikuwa changu bila ubishi manake nilikuwa nagonga kavukavu kila jioni baada ya discussion.Niliomba ardhi itoboke nizamie mazee!
ulile kiumbe au ulikimbia?
 
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:

"...nina mimba yako!"
tehe tehe Mbu thread saaaafi saaana......mimi ndio maana kama nimeamua kula kavu basi shori awe bomba kiakili,kiuchumi na hata sura(offsping)....

.......
 
...Yeye aliipataje????Teh! tehhh!! tehhh!!!!

...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ duuuuuhhhh!!!! ...unamruka "kimanga!"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…