Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:
"...nina mimba yako!"
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:
"...nina mimba yako!"
Ndio maana tunashauriwa kuwa tusianzishe mahusiano ya Ngono kabla ya ndoa...
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:
"...nina mimba yako!"
...Yeye aliipataje????Teh! tehhh!! tehhh!!!!...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:
"...nina mimba yako!"
Mimi yalishanikuta wakati nikiwa secondary tena kama miezi kadhaa hivi na demu tupige national.Kitu kilikuwa changu bila ubishi manake nilikuwa nagonga kavukavu kila jioni baada ya discussion.Niliomba ardhi itoboke nizamie mazee!
Mimi yalishanikuta wakati nikiwa secondary tena kama miezi kadhaa hivi na demu tupige national.Kitu kilikuwa changu bila ubishi manake nilikuwa nagonga kavukavu kila jioni baada ya discussion.Niliomba ardhi itoboke nizamie mazee!
...kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:
"...nina mimba yako!"
ulile kiumbe au ulikimbia?Mimi yalishanikuta wakati nikiwa secondary tena kama miezi kadhaa hivi na demu tupige national.Kitu kilikuwa changu bila ubishi manake nilikuwa nagonga kavukavu kila jioni baada ya discussion.Niliomba ardhi itoboke nizamie mazee!
tehe tehe Mbu thread saaaafi saaana......mimi ndio maana kama nimeamua kula kavu basi shori awe bomba kiakili,kiuchumi na hata sura(offsping).......kama haupo kwenye ndoa, kuna maneno ukitamkiwa, ujue nawe maisha yako yanabadilika milele...
Wewe uta react vipi ukiambiwa haya:
"...nina mimba yako!"