Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwamba Wydad kakuoa wewe bhas Kila mtu amuogope.1. Kwamba Mgunda na andazi bora andazi?
2.Kwamba washauri wa Feitoto na andazi bora andazi?
3.Kwamba Yanga ndio ya kwanza Tanzania kucheza fainal kombe la CAF?
4.Kwamba Simba njooni uwanjani kuona Yanga ikimfunga mwarabu.
Maneno hayo yalitukera sana, sana, mlikosa heshima na adabu.Dharau kwa watani wenu zilikuwa kubwa sana.Watu tulikuwa hatunywi, hatuli kwa makelele yenu na mijezi yenu meusi kama kunguru.
Sasa niwaambie ile USM ni ya kawaida t umekufa 2 kwa lupaso, je ungecheza na Wydad ingekuwaje, si ungevunja timu
andazi ni bora kuliko mgunda,afu tuonesheni medali km kweli nyie mlicheza fainali...wambie hao wazee kwamba Yanga wanashindaga kokote so wapeleke mvua na kule algeria la sivyo kombe tunarudi nalo hapa na hawatufanyi lolote1. Kwamba Mgunda na andazi bora andazi?
2.Kwamba washauri wa Feitoto na andazi bora andazi?
3.Kwamba Yanga ndio ya kwanza Tanzania kucheza fainal kombe la CAF?
4.Kwamba Simba njooni uwanjani kuona Yanga ikimfunga mwarabu.
Maneno hayo yalitukera sana, sana, mlikosa heshima na adabu.Dharau kwa watani wenu zilikuwa kubwa sana.Watu tulikuwa hatunywi, hatuli kwa makelele yenu na mijezi yenu meusi kama kunguru.
Sasa niwaambie ile USM ni ya kawaida t umekufa 2 kwa lupaso, je ungecheza na Wydad ingekuwaje, si ungevunja timu
Hii picha inaelekea leo umeiweka homescreen na wasap dp.Laana ya Feisali na Mgunda
Ila kuna huyu mzee wa mikimbio, humu tumesema sana tukaitwa hater.
Kumbe hadi wachambuzi nao walikuwa wanaliona hilo na wakisema wanaitwa "wachambuzi wa mchongo"View attachment 2638422
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] famchezooo nnNikashangaa hii mvua kubwa ya j'pili imetoka wapi kipindi hiki cha kiangazi,kumbeeeee,,,!
wamepigwa mji upo kimyaaaa,,fa masiala nini😅😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] famchezooo nn
Kama laana ya feisal na. Mgunda basi wawabariki makolo nao wafike fainaliLaana ya Feisali na Mgunda
Ila kuna huyu mzee wa mikimbio, humu tumesema sana tukaitwa hater.
Kumbe hadi wachambuzi nao walikuwa wanaliona hilo na wakisema wanaitwa "wachambuzi wa mchongo"View attachment 2638422
Hapanaa chezeaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wamepigwa mji upo kimyaaaa,,fa masiala nini[emoji28][emoji23]
Nyie mli laaniwa na nani kila mwaka mnaishia pale pale?Laana ya Feisali na Mgunda
Ila kuna huyu mzee wa mikimbio, humu tumesema sana tukaitwa hater.
Kumbe hadi wachambuzi nao walikuwa wanaliona hilo na wakisema wanaitwa "wachambuzi wa mchongo"View attachment 2638422
Imagine mke wa huyu jamaa Ali-chill home gafla anaona mumewe amekula mitama na kumwagiwa maji washa na kuchaniwa nguo ikawa kama sketi na Pengine ndani alilala pia lakini wapi bado watu wakafungwa[emoji3]View attachment 2639189
Nyie mli laaniwa na nani kila mwaka mnaishia pale pale?
Kwani medali inakua ya mchezaji au inabako kwenye klabu?andazi ni bora kuliko mgunda,afu tuonesheni medali km kweli nyie mlicheza fainali...wambie hao wazee kwamba Yanga wanashindaga kokote so wapeleke mvua na kule algeria la sivyo kombe tunarudi nalo hapa na hawatufanyi lolote
Tangu 93 mka laaniwa si ndio?Kumbe 1993 yanga ndio ilicheza FAINALI.
Mbona mnatia aibu sana???!!!!!!!
Alafu ndo afcon iletwe hapa bongo haya yetu macho.YANGA WALIKUWA HOVYO SANA
AIBU ILE YA JANA HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU MASHINDANO KUANZISHWA.
WAANDAAJI WA MCHEZO WAMEITIA AIBU KUBWA TANZANIA