Maneno mliyamaliza Yanga, Wazee walichukia

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
1. Kwamba Mgunda na andazi bora andazi?

2.Kwamba washauri wa Feitoto na andazi bora andazi?

3.Kwamba Yanga ndio ya kwanza Tanzania kucheza fainal kombe la CAF?

4.Kwamba Simba njooni uwanjani kuona Yanga ikimfunga mwarabu.

Maneno hayo yalitukera sana, sana, mlikosa heshima na adabu.Dharau kwa watani wenu zilikuwa kubwa sana.Watu tulikuwa hatunywi, hatuli kwa makelele yenu na mijezi yenu meusi kama kunguru.

Sasa niwaambie ile USM ni ya kawaida t umekufa 2 kwa lupaso, je ungecheza na Wydad ingekuwaje, si ungevunja timu
 
Laana ya Feisali na Mgunda

Ila kuna huyu mzee wa mikimbio, humu tumesema sana tukaitwa hater.

Kumbe hadi wachambuzi nao walikuwa wanaliona hilo na wakisema wanaitwa "wachambuzi wa mchongo"
Screenshot_20230528-190310.png
 
1. Kwamba Mgunda na andazi bora andazi?

2.Kwamba washauri wa Feitoto na andazi bora andazi?

3.Kwamba Yanga ndio ya kwanza Tanzania kucheza fainal kombe la CAF?

4.Kwamba Simba njooni uwanjani kuona Yanga ikimfunga mwarabu.

Maneno hayo yalitukera sana, sana, mlikosa heshima na adabu.Dharau kwa watani wenu zilikuwa kubwa sana.Watu tulikuwa hatunywi, hatuli kwa makelele yenu na mijezi yenu meusi kama kunguru.

Sasa niwaambie ile USM ni ya kawaida t umekufa 2 kwa lupaso, je ungecheza na Wydad ingekuwaje, si ungevunja timu
Kwamba Wydad kakuoa wewe bhas Kila mtu amuogope.
Kwamba Simba hafungwi na timu ndogo,yeye timu kubwakubwa tu kama Namungo na Azam fc
 
1. Kwamba Mgunda na andazi bora andazi?

2.Kwamba washauri wa Feitoto na andazi bora andazi?

3.Kwamba Yanga ndio ya kwanza Tanzania kucheza fainal kombe la CAF?

4.Kwamba Simba njooni uwanjani kuona Yanga ikimfunga mwarabu.

Maneno hayo yalitukera sana, sana, mlikosa heshima na adabu.Dharau kwa watani wenu zilikuwa kubwa sana.Watu tulikuwa hatunywi, hatuli kwa makelele yenu na mijezi yenu meusi kama kunguru.

Sasa niwaambie ile USM ni ya kawaida t umekufa 2 kwa lupaso, je ungecheza na Wydad ingekuwaje, si ungevunja timu
andazi ni bora kuliko mgunda,afu tuonesheni medali km kweli nyie mlicheza fainali...wambie hao wazee kwamba Yanga wanashindaga kokote so wapeleke mvua na kule algeria la sivyo kombe tunarudi nalo hapa na hawatufanyi lolote
 
Imagine mke wa huyu jamaa Ali-chill home gafla anaona mumewe amekula mitama na kumwagiwa maji washa na kuchaniwa nguo ikawa kama sketi na Pengine ndani alilala pia lakini wapi bado watu wakafungwa[emoji3]
Screenshot_20230528-224418.jpg
 
Imagine mke wa huyu jamaa Ali-chill home gafla anaona mumewe amekula mitama na kumwagiwa maji washa na kuchaniwa nguo ikawa kama sketi na Pengine ndani alilala pia lakini wapi bado watu wakafungwa[emoji3]View attachment 2639189

YANGA WALIKUWA HOVYO SANA

AIBU ILE YA JANA HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU MASHINDANO KUANZISHWA.

WAANDAAJI WA MCHEZO WAMEITIA AIBU KUBWA TANZANIA
 
andazi ni bora kuliko mgunda,afu tuonesheni medali km kweli nyie mlicheza fainali...wambie hao wazee kwamba Yanga wanashindaga kokote so wapeleke mvua na kule algeria la sivyo kombe tunarudi nalo hapa na hawatufanyi lolote
Kwani medali inakua ya mchezaji au inabako kwenye klabu?
 
YANGA WALIKUWA HOVYO SANA

AIBU ILE YA JANA HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU MASHINDANO KUANZISHWA.

WAANDAAJI WA MCHEZO WAMEITIA AIBU KUBWA TANZANIA
Alafu ndo afcon iletwe hapa bongo haya yetu macho.
 
Back
Top Bottom