Maneno mliyamaliza Yanga, Wazee walichukia

Leo hata sports extra na ile ya wasafi zimekuwa ngumu kuskilizika,sports HQ ya efm ndo kabisaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manina Alex Lwambano alivyokuwa anaipamba yanga hatari. Sasa wamepoteana manina walikuwa wanabeza robo finali za club bingwa kwa kulinganisha na madhindano ya ndondo pumbafu
 
na nemc wapo tu wanaangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…