Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Font ferd!I wish i could be igp
Not to that extent
Watch it
Mimi huyu eehh hee
Vilaza wenu
Weka lock up na magari yao ...
PAMBANA NA HALI YAKOKwa kawaida, kauli za viongozi wa juu wakati mwingine huibua mzaha, kejeli na kuwa maarufu kutokana na kuvumishwa na media mbalimbali.
Ni wazi kuwa kauli ya Rais na watu wengne maarufu husababisha maneno hayao kuwa maarufu hata kama mwanzo yalikuwa ya kawaida.
Katika awamu ya JK kwa mfano baadhi ya maneno maarufu ni kama vile DOWANS, EPA, HELA YA MBOGA, KIHEREHERE, BIG RESULT, DIVISHENI ZERO, VIJISENTI N.K
Utawala wa awamu ya 5 nao hauko nyuma ambapo baadhi ya kauli zimeleta kejeli, mzaha na kuwa maarufu.
Kwa mfano, maneno kama:
1. KUPIMA MKOJO
2. BASHITE
3. MAKINIKIA
3. KUTUMBUA MAJIPU
4. KUTAFUTA KIKI KWA PIKIPIKI
5. WAPUMBAVU
6. MALOFA
7. BUKU 7
8. NYUMBU
9. KUBADILI GIA ANGANI
10. WANAUME
11. KUTAKATISHA FEDHA
12.
13.
Wadau, mnaweza kuöngeza mengine hapo chini.
hahahahaha hiii ilikuwa hatari ya mwakahayo mabango katandikeni kwenye vitanda vyenu mnavyolalia na wake zenu!, mniombee
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Tanzania yangu ni Tanzania ya mahendereo!
Wear