KibamiaNaomba tukumbudhane maneno Na misemo ikiyotamba mwaka 2017.
Expansion joint by Elius Mwakalinga
900 itapendeza by Dr. Luis Shika
Vyuma vimekaza
Makinikia
Mpaka mwezi wa saba mtakywa mmerudi kijijini wapiga Dili wote....,
Hebu ongezea mingine ili tuuenzi mwaka huu
Maneno mawili yani KA TANaomba tukumbudhane maneno Na misemo ikiyotamba mwaka 2017.
Expansion joint by Elius Mwakalinga
900 itapendeza by Dr. Luis Shika
Vyuma vimekaza
Makinikia
Mpaka mwezi wa saba mtakywa mmerudi kijijini wapiga Dili wote....,
Hebu ongezea mingine ili tuuenzi mwaka huu
Nilivyoona like nikashutuka sijaamini kama ni wewe mkuu. [emoji12]Miss u mkuu
[emoji23] [emoji23] maan uma ntenga mara mwisho kuonans ile thread ya jamaa wa kuruka ghorofani....za masiku na mihangaikoNilivyoona like nikashutuka sijaamini kama ni wewe mkuu. [emoji12]
Miss u too mkuu. Za kuadimuka?
Mimi mkuuu niko mikono salamaNilivyoona like nikashutuka sijaamini kama ni wewe mkuu. [emoji12]
Miss u too mkuu. Za kuadimuka?
Nzuri kabisa Mkuu namshukuru M'mungu. Sijui kwako?[emoji23] [emoji23] maan uma ntenga mara mwisho kuonans ile thread ya jamaa wa kuruka ghorofani....za masiku na mihangaiko
Kwangu usalama upo na uzima mkuu tuna hesabu siku kumaliza mwaka vp maandalizi sikukuu?Nzuri kabisa Mkuu namshukuru M'mungu. Sijui kwako?
PAMBANA NA HALI YAKO...Imevunja rekodi!!Naomba tukumbudhane maneno Na misemo ikiyotamba mwaka 2017.
Expansion joint by Elius Mwakalinga
900 itapendeza by Dr. Luis Shika
Vyuma vimekaza
Makinikia
Mpaka mwezi wa saba mtakywa mmerudi kijijini wapiga Dili wote....,
Hebu ongezea mingine ili tuuenzi mwaka huu
Hamna huu usemi upo kabla hata Kikwete hajatoka madarakanKuna mtangazaji mmoja wa redio mawingu anaitwa kibonde ndio mwanzilishi wa uo msemo