Maneno na misemo iliyovuma mwaka 2017

Maneno na misemo iliyovuma mwaka 2017

Naomba tukumbudhane maneno Na misemo ikiyotamba mwaka 2017.
Expansion joint by Elius Mwakalinga
900 itapendeza by Dr. Luis Shika
Vyuma vimekaza
Makinikia
Mpaka mwezi wa saba mtakywa mmerudi kijijini wapiga Dili wote....,

Hebu ongezea mingine ili tuuenzi mwaka huu
Kibamia
 
Maneno mawili yani KA TA
 
Nilivyoona like nikashutuka sijaamini kama ni wewe mkuu. [emoji12]

Miss u too mkuu. Za kuadimuka?
[emoji23] [emoji23] maan uma ntenga mara mwisho kuonans ile thread ya jamaa wa kuruka ghorofani....za masiku na mihangaiko
 
Naomba tukumbudhane maneno Na misemo ikiyotamba mwaka 2017.
Expansion joint by Elius Mwakalinga
900 itapendeza by Dr. Luis Shika
Vyuma vimekaza
Makinikia
Mpaka mwezi wa saba mtakywa mmerudi kijijini wapiga Dili wote....,

Hebu ongezea mingine ili tuuenzi mwaka huu
PAMBANA NA HALI YAKO...Imevunja rekodi!!
 
Back
Top Bottom