Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
ulimuuluza kachelewa kwa sababu ganiSijawai kutukanwa mi ndo natukana...na Leo kuna dogo kaja kachelewa nmemwambia sense nyumbani akalale akichoka arudi kazini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulimuuluza kachelewa kwa sababu ganiSijawai kutukanwa mi ndo natukana...na Leo kuna dogo kaja kachelewa nmemwambia sense nyumbani akalale akichoka arudi kazini..
For sure!ndo ukutane na bosi mchina na nasikia wana kiburi na jeuri balaa c ndo utarusha na ngumi kabisa
Nimekuchukia gaflaSijawai kutukanwa mi ndo natukana...na Leo kuna dogo kaja kachelewa nmemwambia sense nyumbani akalale akichoka arudi kazini..
Utajibu nini mbele ya kibosile? nilishusha macho chini kwa aibu nikaondoka.haikuchukua muda akawa fired na makosa yake mengine mara nyingi watu wenye nyodo makazini huwa hawadumu.mama kubwa hebu tudokeze kdogo ndo ulimjibuje nawe?
maamuz ya busara ulifanya ..... moto dawa yake haiwezi kuwa moto ... hiyo theory iko applicable kwa watu wa misitu tu ......Utajibu nini mbele ya kibosile? nilishusha macho chini kwa aibu nikaondoka.haikuchukua muda akawa fired na makosa yake mengine mara nyingi watu wenye nyodo makazini huwa hawadumu.
Hiyo NAZI itakua koroma[emoji276]Mimi bado ni jobless, nikipata Nazi ntakuja kutoa ushuhuda!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa sisi tusio na ma boss ni maneno ya makondakta jamani yanatuumiza
Ulitaka kumuunguzia picha mkuu[emoji23]"we ni mjinga sana, na maisha yako yote utakuwa ni mtu wa kupelekeshwa pelekeshwa...rudi nyumbani uje wiki ijayo" hii ilikuwa ni baada ya kumfuata naibu katibu mkuu wa wizara fulani kumpatia document zake kutokana na nilivyokuwa ninamuheshimu wakati yeye alinielekeza nikakae sehemu ya mbali kabisa aje kuzifuata mwenyewe nilipo...nilirudi home iliniuma sana ila nikajifunza katika maisha ya kibiashara ni lazima ku set standards. na hiki ndiyo kitu huyu bosi alinifunza na ninakifanyia kazi (nilikuwa nimemaliza form 6)
kweli, yeye katika biashara zake siyo mtu wa kumnyenyekea mtu kazi kazi kweli, afu alikuwa anatufundisha namna na ku deal na watu wa aina mbali mbali, na semina na kongamano hata kulipiwa mnalipiwa muende, unaweza kwenda kwenye semina unalipiwa laki 4, ila mshahara sasa unaweza uukaupata tarehe 40 na ikienda semina ujue lazima uje ku practiceUlitaka kumuunguzia picha mkuu[emoji23]