Maneno (sentence) ya kutia hasira uloambiwa na bosi/mkuu wako

Utajibu nini mbele ya kibosile? nilishusha macho chini kwa aibu nikaondoka.haikuchukua muda akawa fired na makosa yake mengine mara nyingi watu wenye nyodo makazini huwa hawadumu.
maamuz ya busara ulifanya ..... moto dawa yake haiwezi kuwa moto ... hiyo theory iko applicable kwa watu wa misitu tu ......
 
"Huko Chuo Kikuu mlisomea nini?"

Boss aliniuliza, huku yeye mwenyewe akiwa na PhD.
 
"...mwenye cheo ..ndiye mwenye akili...""...nikamjibu ewala mkuu.....ila alinikera sana...maana aliongea kwa sauti mbele ya jamii tuliyokuwa tunaihudumia.....
ila mpaka leo ushauri wa wasaidizi wake anautafuta kwa tochi.....[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Mimi bado ni jobless, nikipata kazi ntakuja kutoa ushuhuda!
 
Sasa sisi tusio na ma boss ni maneno ya makondakta jamani yanatuumiza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"we ni mjinga sana, na maisha yako yote utakuwa ni mtu wa kupelekeshwa pelekeshwa...rudi nyumbani uje wiki ijayo" hii ilikuwa ni baada ya kumfuata naibu katibu mkuu wa wizara fulani kumpatia document zake kutokana na nilivyokuwa ninamuheshimu wakati yeye alinielekeza nikakae sehemu ya mbali kabisa aje kuzifuata mwenyewe nilipo...nilirudi home iliniuma sana ila nikajifunza katika maisha ya kibiashara ni lazima ku set standards. na hiki ndiyo kitu huyu bosi alinifunza na ninakifanyia kazi (nilikuwa nimemaliza form 6)
 
You are here consuming a free salary, hii sentence kaniambia Afisa mmoja juzi tena mbele ya waheshimiwa fulani. Nawaza nikamfungulie kesi ya defamation ili approve hayo maneno
 
Ulitaka kumuunguzia picha mkuu[emoji23]
 
Ulitaka kumuunguzia picha mkuu[emoji23]
kweli, yeye katika biashara zake siyo mtu wa kumnyenyekea mtu kazi kazi kweli, afu alikuwa anatufundisha namna na ku deal na watu wa aina mbali mbali, na semina na kongamano hata kulipiwa mnalipiwa muende, unaweza kwenda kwenye semina unalipiwa laki 4, ila mshahara sasa unaweza uukaupata tarehe 40 na ikienda semina ujue lazima uje ku practice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…