The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti.
Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu. Ukisema jangwa la Sahara, manake jangwa la jangwa - desert desert.
Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ATM machine, hiyo M kwenye ATM ni machine.
PIN number, hiyo N ni number.
Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road.
Ongezeeni zingine.