Maneno tunayotamka kwa kurudia bila kujua

Maneno tunayotamka kwa kurudia bila kujua

Sisi Wakongwe Staa ni Mtu maarufu

Staa wa Nyota ni Mtu maarufu anayesujudia Madhabahu ya Nyota

Mfano wa Staa ni " Mamajusi" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nyota yao ni ile ya Mashariki ๐ŸŒน
Ndiyo hivyo.

Wenye nyota wa nyota moja?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Swanglish?๐Ÿคญ
 
Ndiyo hivyo.

Wenye nyota wa nyota moja?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Swanglish?๐Ÿคญ
Bwashee Hakunaga Mwenye Nyota ila wako wanaoitumikia Nyota fulani ๐Ÿ˜‚

Kwa Shehe Yahya hata Punda ni Nyota ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti...

Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu....ukisema jangwa la Sahara...manake jangwa la jangwa....desert desert....

Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ... ATM machine....Hiyo M kwenye ATM ni machine.. PIN number...hiyo N ni number...

Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road...

Ongezeeni zingine
Sawasawa mkuu the boss!
 
Sahara desert ni sahihi, hujarudia. Kwani unazungumza kiarabu? Kwanza kiarabu desert haindikwi ''sahara'' bali inaandika ุตุญุฑุงุก na kutamkwa ''sahra''. Jamii nyingine ikaamua kuliita jangwa jina la Sahara. Tofautisha kati ya ''jangwa jina'' na ''jangwa hali ya nchi''.
 
Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti...

Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu....ukisema jangwa la Sahara...manake jangwa la jangwa....desert desert....

Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ... ATM machine....Hiyo M kwenye ATM ni machine.. PIN number...hiyo N ni number...

Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road...

Ongezeeni zingine
Maana yake siyo ile ya kiarabu tena sababu wametohoa kutoka kiarabu na kuwa jina. Kwa kiarabu ni sahra siyo Sahara. Hivyo Ile maana ya kiarabu ilikuwa ni common noun, ukiiandika only mwanza wa sentense ndiyo utatakiwa kuweka herufi kubwa, lakini huko kwingine ni ndigo, wakati hii inayojulikana sasa ni noun, lazima ukiiandaki uanze na herufi kubwa.
Sasa hivi ni jina kama ilivyo Msasani, Mikocheni, Mbeya n.k
 
Mbongo akiongea kingereza
I can't believe yani siamini, nimeweka effort yangu yote nguvu zangu zote nime invest sana yani nimewekeza sana kwake ila ndo hivyo bro yule demu hana loyalty yani siyo muaminifu kabisa.

Sasa sijui kwanini huwa wanarudia neno moja mara mbilimbili alafu wanajiona kama wako Mayami hivi
Hii ni kweli kabisa ๐Ÿ˜ƒ
 
Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti.

Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu. Ukisema jangwa la Sahara, manake jangwa la jangwa - desert desert.

Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ATM machine, hiyo M kwenye ATM ni machine.

PIN number, hiyo N ni number.

Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road.

Ongezeeni zingine.
Bank ya nmb,crdb,nbc
 
Ni kosa kusema maulidi kitenge hajui kuongea kiingereza maana ukishaitwa maulidi kitenge automatic hautajua kiingereza hata uzaliwe uingereza/ maulidi kitenge ni utambulisho wa mtu yeyote asiyejua kiingereza.

Najua mmekereka lakini ndo hivyo!
 
Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti.

Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu. Ukisema jangwa la Sahara, manake jangwa la jangwa - desert desert.

ATM machine, hiyo M kwenye ATM ni machine.

PIN number, hiyo N ni number.

CRDB Bank
NMB Bank
NBC Bank
DTB Bank na kadhalika...
Bank ya nmb,crdb,nbc
TIN NUMBE,

NENO TIN HII N INAMAANISHA NAMBA,

Jina ni utambulisho.

1. CRDB Bank (zinaweza kuwepo CRDB nyingi, lakini inayozungumziwa hapa ni benki). Pia tambua kwamba CRDB na benki ni vitu viwili tofauti kabisa kwa sababu kila moja huwakilisha dhana tofauti.

2. Sahara ni eneo mahususi lilipo jangwa hilo. Sahara zinaweza kuwepo nyingi. Kwa mfano Saharan News Outlet, lakini hapa linazungumziwa jangwa. Jangwa la Sahara ndilo jina kamili.

Ni sawa na kusema Samina Salumu kwa mantiki ya kumtaja mtu husika mmoja.

3. Vilevile kwa ATM vs machine, TIN vs number, PIN vs number. PIN ni kifupi cha maneno ambayo hubeba utambulisho tofauti na kusema tu namba. Haiwezekani TIN au PIN na namba vikawa kitu kilekile.

4. Consider this:
I'm in DRC.
Which DRC?
DRC Congo.

The same applies to Lake Nyasa, Mississippi River and so forth. It's almost obnoxious to assume that DRC and Congo or Lake and Nyasa or River and Mississippi, are one and the same thing!

5. Consider this too:
CEO: ^Hi! Mbenda. I want an ATM ASAP!^

Mbenda: ^What would that be, boss? An automatic teller machine, asynchronous transfer mode, atmosphere or atomic mass?^

CEO: ^I see!^
 
Back
Top Bottom