SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ndiyo hivyo.Sisi Wakongwe Staa ni Mtu maarufu
Staa wa Nyota ni Mtu maarufu anayesujudia Madhabahu ya Nyota
Mfano wa Staa ni " Mamajusi" ππ Nyota yao ni ile ya Mashariki πΉ
Askari wa jwtz,nipo sahihiUnaweza kuwa askari Lakini Usiwe Polisi ππ
Bwashee Hakunaga Mwenye Nyota ila wako wanaoitumikia Nyota fulani πNdiyo hivyo.
Wenye nyota wa nyota moja?
πππ
Swanglish?π€
Sawasawa mkuu the boss!Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti...
Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu....ukisema jangwa la Sahara...manake jangwa la jangwa....desert desert....
Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ... ATM machine....Hiyo M kwenye ATM ni machine.. PIN number...hiyo N ni number...
Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road...
Ongezeeni zingine
Sahara desert ni sahihi, hujarudia. Kwani unazungumza kiarabu? Kwanza kiarabu desert haindikwi ''sahara'' bali inaandika Ψ΅ΨΨ±Ψ§Ψ‘ na kutamkwa ''sahra''. Jamii nyingine ikaamua kuliita jangwa jina la Sahara. Tofautisha kati ya ''jangwa jina'' na ''jangwa hali ya nchi''.Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti...
Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu....ukisema jangwa la Sahara...manake jangwa la jangwa....desert desert....
Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ... ATM machine....Hiyo M kwenye ATM ni machine.. PIN number...hiyo N ni number...
Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road...
Ongezeeni zingine
Upo sahihi kabisaAskari wa jwtz,nipo sahihi
Maana yake siyo ile ya kiarabu tena sababu wametohoa kutoka kiarabu na kuwa jina. Kwa kiarabu ni sahra siyo Sahara. Hivyo Ile maana ya kiarabu ilikuwa ni common noun, ukiiandika only mwanza wa sentense ndiyo utatakiwa kuweka herufi kubwa, lakini huko kwingine ni ndigo, wakati hii inayojulikana sasa ni noun, lazima ukiiandaki uanze na herufi kubwa.Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti...
Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu....ukisema jangwa la Sahara...manake jangwa la jangwa....desert desert....
Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ... ATM machine....Hiyo M kwenye ATM ni machine.. PIN number...hiyo N ni number...
Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road...
Ongezeeni zingine
Hii ni kweli kabisa πMbongo akiongea kingereza
I can't believe yani siamini, nimeweka effort yangu yote nguvu zangu zote nime invest sana yani nimewekeza sana kwake ila ndo hivyo bro yule demu hana loyalty yani siyo muaminifu kabisa.
Sasa sijui kwanini huwa wanarudia neno moja mara mbilimbili alafu wanajiona kama wako Mayami hivi
Bank ya nmb,crdb,nbcKuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti.
Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu. Ukisema jangwa la Sahara, manake jangwa la jangwa - desert desert.
Yapo maneno mengi Sana tunarudia. ATM machine, hiyo M kwenye ATM ni machine.
PIN number, hiyo N ni number.
Ni Sawa na kusema Barabara ya Morogoro road.
Ongezeeni zingine.
Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti.
Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu. Ukisema jangwa la Sahara, manake jangwa la jangwa - desert desert.
ATM machine, hiyo M kwenye ATM ni machine.
PIN number, hiyo N ni number.
CRDB Bank
NMB Bank
NBC Bank
DTB Bank na kadhalika...
Bank ya nmb,crdb,nbc
TIN NUMBE,
NENO TIN HII N INAMAANISHA NAMBA,