Maneno ya Baba wa Taifa Kuhusu Katiba na ya Rais wa Sasa Kuhusu Katiba Mpya

Maneno ya Baba wa Taifa Kuhusu Katiba na ya Rais wa Sasa Kuhusu Katiba Mpya

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
8,198
Reaction score
9,911


Maneno ya Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere enzi za uai wake kuhusu Katiba:

“Hauwezi kuendelea kupuuza Katiba. Katiba ndiyo Sheria ya msingi, Sheria nyingine zote zinatokana na Katiba, haiwezi kupuuzwa. Hatuwezi kuendelea na utaratibu wa kupuuza Katiba ya nchi yetu. Ukiwa na Rais anaona haya kuitetea Katiba, naye amechaguliwa kwa mujibu wa Katiba hiyo na amehapa kuilinda Katiba hiyo alafu anaona haya kuitetea Katiba hiyo."

Manemo ya Rais wa sasa wa awamu ya 6, Mhe. Samia Suluhu Hassan

“Tunataka Katiba mpya watu wote ehe, tunataka Katiba mpya, tunataka Katiba mpya, kama kuheshimu vitabu tungeheshimu vya dini. Nani kasema maendeleo yanaletwa na kitabu kilichotungwa kikawekwa hapa.
 
Back
Top Bottom