Maneno ya busara ya PLATO

Maneno ya busara ya PLATO

Shayu

Platinum Member
Joined
May 24, 2011
Posts
608
Reaction score
1,655
'' He compares the situation to a ship on which the ship owner is hard of hearing, has poor vision, and lacks sea-faring skills. All of the sailors on the ship quarrel over who should be captain, though they know nothing about navigation. In lieu of any skill, they make use of brute force and clever tricks to get the ship owner to choose them as captain. Whoever is successful at persuading the ship owner to choose him is called a “navigator,” a “captain,” and “one who knows ships.” Anyone else is called “useless.” These sailors have no idea that there is a craft of navigation, or any knowledge to master in order to steer ships. In this scenario, Socrates points out, the true captain—the man who knows the craft of navigation—would be called a useless stargazer.''

Plato.


Uongozi unahitataji hekima, busara na maarifa sio kukimbilia tu ili uitwe raisi na kujiinua huku raia wakipata tabu, wenye hekima busara na maarifa lazima waongoze.
 
Mkuu Sungurampole hapa ni lazima tuwalaumu wale wanaowapa msaada watu ambao hawana uwezo wa kiuongozi kwa ajili ya maslahi yao. Hawa ambao hawawezi kutuongoza, wanakuwa hawana hata mbinu 'upstairs' za kuiba uongozi. Only bright guys can do this.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umesema vema, turudishe nyumbani sasa-unataka kusemaje?
Wengi wanaogombania uongozi hawajui nini maana ya uongozi wala hawana skills wanauhitaji ili kufanya starehe na anasa na sio maendeleo ya kweli ya wananchi kwakuwa ili kuongoza unahitaji maarifa ya kiuongozi na maono.

Katika mazingira ya leo watu wenye maono na wenye nia njema ni vigumu kukubalika mfumo umejaa waongo na walaghai ambao wanachumia tumbo lakini wale wanaojua wanaitwa ''useless''
 
Mkuu umesema vema, turudishe nyumbani sasa-unataka kusemaje?
Kwenye hiyo stori ship owner is you! Hao wengine ni watu wanaojiita wanasiasa na wanaye mkataa ingawaje anauiwezo wa kuongoza kutokana na busara zake ni mwanafalsafa.
 
Back
Top Bottom