Maneno ya Christina Shusho kwenye send off ya binti yake

Maneno ya Christina Shusho kwenye send off ya binti yake

Shusho anatakiwa kutubu amepotoka sana, kwa sasa kila anachofanya kinaonekana najisi naamini hata wahudhuriaji hawakuwa na hamu ya kumsikiliza huyo mwanamke.

Ndio maana baba mtu ameongea akapigiwa makofi, lakini Shusho kwa hofu ameishia kutetemeka akatoa mic kwa baba mtu.
 
NIlidhani nimeona peke yangu alivotetemeka haamini kama binti yake kaolewa yeye naona alikuwa anawahusia kabisa wasiolewe mapema hapo anatetemeka haamini kama anaenda kuitwa bibi soon wakati bado anatamani kuendelea kudanga
 
Mambo tyr jamani Christina hataki hata kumposti bintiye na Binti ameolewa na mimba kubwa tu
 
Attachments

  • Screenshot_20240729-170242_3.jpg
    Screenshot_20240729-170242_3.jpg
    281.4 KB · Views: 11
Huyu Christina mpuuzi sana na mfano mbaya kabisa kuongelea ndoa au kutoa nasaha za ndoa, hopeless
 
Tujifunze kutokujaji kitu Kwa juu,hamuelewi labda ni shoruba gani alikuwa anapitia Huyo dada ndani ya ndoa au labda ni kweli Mzee kaonewa hatujui ukweli ni vizuri tukabaki watazamaji zaidi....
 
Tujifunze kutokujaji kitu Kwa juu,hamuelewi labda ni shoruba gani alikuwa anapitia Huyo dada ndani ya ndoa au labda ni kweli Mzee kaonewa hatujui ukweli ni vizuri tukabaki watazamaji zaidi....
Mi naona tatizo kubwa ni muonekano wa yule mzee shusho hapana kwakwel ingawa mwanaume Hana ulazima wa Kuwa mzuri ila yule Mzee shusho mhmm dada Tina ni shida tu na ushamba ndo vilimfanya akakubali kuolewa nae mi mara ya kwanza nilivomjua mume wake nilistaajabu kwel Mungu hakupi vyote
 
Back
Top Bottom