Maneno ya dharau na kuudhi ya Juma Lokole kuhusu mtu mweusi yanaudhi na kushawishi unyonge kwa vijana wanaomsikiliza ambao ni weusi

Maneno ya dharau na kuudhi ya Juma Lokole kuhusu mtu mweusi yanaudhi na kushawishi unyonge kwa vijana wanaomsikiliza ambao ni weusi

Juma Lukole kile ni "kileja" mkuu...asikuumize kichwa..
 
Seriously??? Hivi mnapata wapi muda wa kumsikiliza huyo "choko" ??
 
Ivi si ndo yule dada was taifa alisema Ni muuza mchele aka Hana marindah? Kama ndie Sina shida nae
 
Unaanzaje kumchukulia serious shoga, mtu asiyehurumia m*kundu wake? Yaani Wizara kabisa ipoteze muda kumfatilia mtu aliyewekeza akili zake matakoni? Mtoa mada umenisikitisha sana[emoji27][emoji27]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanza hapo kuna kiwanda kinaitwa nyakato...... wana deal na vyuma aisee utashangaa mazingira ya kazi wanayotumikishwa wazawa
Yupo Sahihi sana.

MTU mweusi ndio Race yenye watu Wavivu, Wakatili, Wenye majungu na wasiopendana.

Pia tuna Imani za kijinga sana ambazo hazina maana.

Hatuna Ubunifu wala teknolojia ya kuweza kuwasaidia binadamu wengine duniani.

Ndio maana tulitawaliwa kikoloni na Waarabu na Wazungu kwa ukoloni wa zamani.

Hata leo watu weusi wengi wanatawaliwa na haohao na wameongezeka Wahindi pia kutawala mtu mweusi kikoloni kasoro tu ni mijeledi hatuioni.

Kama Mhindi anaajiri watanzania masikini wanafanya kazi ngumu katika mazingira magumu sana mfano kuchanganya rangi za nguo au kuchochea moto kiwandani usiku na mchana kisha analipwa elfu 80 kwa mwezi ndani ardhi yao, maji yao, serikali yao, huo sio ubepari na ukoloni?

Tunafanya kazi nyingi za kutumia nguvu kuliko akili na malipo ni kidogo sana.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumiza kichwa na mchele mke wa pili wa domo unakwama wapi mzee hlo punga le jeusi hrfu linauktaa weusi
 
Back
Top Bottom