Maneno ya dharau ya Askofu Gwajima kwa waliomzunguka Rais Samia

Maneno ya dharau ya Askofu Gwajima kwa waliomzunguka Rais Samia

kanisa kalianzisha yeye mwenyewe na udoctor kajipa yeye mwenyewe, ashukuru kuitwa mweshimiwa kwa ajili ya ubunge. uwaskofu nao kajipachika mwenyewe, such a useless person
Acha udini wako.Kuna uhuru wa kutoa maoni.Wewe nenda ukachanjwe inatosha.
 
Nimeamini Gwajima ni mkubwa kuliko Serikali

Gwajima ni Mjanja sana. Alimsema sana Magufuli kwa kumponda makonda. Huku akisema Magufuli hana tatizo tatizo liko kwa mteule Makonda. Vile ni kumsafisha Magufuli ambaye jamii yote ilitambua fika Makonda anatumwa na Magufuli
 
Back
Top Bottom