Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

Umeoza kichwani wewe umemjibu Bashiru unaelewa maana ya huko nyuma unamjua vizuri bashiru wewe mende? Vichwa vya ushagoo mnasumbua una mahaga na wewe ni ngende tu. Ongeeni umeme, maji na miradi ya kimkakati sio upumbavu kama huo.
Hayo yote ya habari za umeme na maji nilishaeleza humu vizuri tu labda Kama wewe Ni mgeni humu
 
Mbona mgao wa umeme hauwaumizi na badala yake mnaumizwa na maneno ya Bashiru?
Kwani wewe huoni juhudi za serikali katika kukabiliana na kero hizo? Hujaona majuzi hapa mh Rais akizindua mradi wa maji pamoja na mitambo ya kuchimbia visima virefu vya maji?
 

Nyamaza kimya
 
Kwani wewe huoni juhudi za serikali katika kukabiliana na kero hizo? Hujaona majuzi hapa mh Rais akizindua mradi wa maji pamoja na mitambo ya kuchimbia visima virefu vya maji?

Tunataka evalasting solution sio cheap politics za kupiga picha.
 
Pole Sana.
Nashukuru japo chama chetu hakiwezi kuteteleka Wala kuyumba Wala kuyumbishwa maana Ni chama kikongwe kilichopita katika milima na mabonde, kimepitia misukosuko ya aina zote na nyakati zote kimeibuka na kuvuka salama, CCM Ni kubwa kuliko mwanachama yeyote Yule na Hakuna aliye juu ya ccn
 
Sasa kwanini matamko yenu ya kumjibu Dr Bashiru yasifanyike ndani ya chama
Kwanini yafanyike ndani ya chama wakati kauli ya mh Dr Bashiru hayajatolewa ndani ya chama? Lazima yajibiwe hadharani ili wanachama wengine wajifunze na wajuwe utaratibu wa kufuata ukiwa na maoni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…