Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Kwa kosa ganiAnzeni kumwita kinana kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kosa ganiAnzeni kumwita kinana kwanza.
Soma Tena andiko languWewe umejibu hoja zake
Kwavile hujaelewa ngoja nikuache tu ulivyoKwanini yafanyike ndani ya chama wakati kauli ya mh Dr Bashiru hayajatolewa ndani ya chama? Lazima yajibiwe hadharani ili wanachama wengine wajifunze na wajuwe utaratibu wa kufuata ukiwa na maoni yako
Unapotatua baadhi ya matatizo lazima uwe na mikakati ya muda mfupi wa Kati na muda mrefuTunataka evalasting solution sio cheap politics za kupiga picha.
Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe
Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu mkuu mstaafu wa CCm na katibu mkuu kiongozi mstaafu yamekuwa Ni maneno yakushangaza na kusikitisha, yamekuwa ni maneno yaliyowashitua wengi,yamekuwa ni maneno yaliyo washangaza wengi, yamekuwa Ni maneno ambayo hayakutegemewa kutoka katika kinywa Cha mtu Kama Dr Bashiru, Yamewashangaza na kuwakeraa wengi, kuwasononesha na kuwakatisha Tamaa.
Ni maneno yaliyoonesha chuki Binafsi kwa mh Rais, Ni maneno yaliyoonesha kuwepo kwa Ajenda ya Siri nyuma,Ni maneno yaliyoonesha uwakilishi wa kakikundi fulani nyuma yake, Ni maneno yaliyo kuja Kama kupima upepo, Ni maneno yaliyo kuja kumkatisha Tamaa Mh Rais, Ni maneno yaliyokuja kuwagawa wanachama, Ni maneno yaliyolenga kumvunja moyo mh Rais, Ni maneno yaliyokuja kana kwamba Ni mtego wakutaka kutambua mtizamo wa chama na wananchi, Ni maneno ya kuleta Taharuki. Ni Maneno yaliyokuja Kama kutoa ujumbe au kufikisha ujumbe au kuleta picha fulani Au kutunisha misuri au kutisha japo huwezi ukaitisha Taasisis ya Urais hata siku moja
Hakika Ni Shambulizi kwa Rais, Ni kombola lililorushwa ili kusikiliziaa Nini kitatokea litakapotua, Ni Shambulizi la makusudi lenye lengo maalumu na ajenda maalumu, Halijatokea kwa bahati mbaya na Kama Kuna mtu Anawaza hivyo Amini Nawaambieni kuwa atakuwa anajidanganya, atakuwa hajawaza vizuri,atakuwa amejipa jibu la bila kufikiri kwa kina na kuelewa maana ya kauli hiyo, atakuwa hajatafakari kwa undani wa kauli hiyo. Ni kauli ya Hasira toka kwenye moyo wenye hasira kinyongo na chuki,siyo kauli ya kawaida kutoka kwa kiongozi aliyefikia ngazi ya juu kiuongozi ndani ya chama na serikali na anayepaswa kuwa mnyenyekevu,mtiifu,mwenye kifua Cha Siri, na mwenye kuchungu ulimi wake hasa kwa kutambua kuwa Ni mtu aliyekuwa anafahamu Siri nyingi na mipango mingi ya chama na serikali kutokana na nafasi za kiuongozi alizokuwa nazo, Ni mtu anayepaswa kuheshimu mamlaka na kukosoa kwa staha na kufuata utaratibu ambao hauwezi kuleta Taharuki kwa jamii
Ndugu zangu iweje kosa kumpongeza mh Rais? Iweje nongwa kumsifia mh Rais kwa kazi nzuri na njema alizozifanya ndani ya muda mfupi? Kwanini asipongezwe? Kwanini asisisfiwe anapofanya vizuri? Kwanini iwe dhambi kumtia moyo na kumpa faraja mh Rais ya kusonga mbele?
Ndugu zangu Wakulima wa nchi hii watashindwaje kumpongeza mh Rais wakati wanaona kazi kubwa na juhudi za mh Rais katika kuwainua kiuchumi na kuwakwamua kutoka katika umaskini? Wakulima waliokuwa wananunua mbolea ya DAP laki na 40 msimu uliopita watashindwaje kumpongeza nakumsifia mh Rais wanapoona msimu huu mbolea hiyo hiyo Ya DAP ya Ruzuku inapatikana kwa Elfu 70 tu? Wakulima watashindwaje kumpongeza na kumsifia mh Rais wanapoona Sasa wanafaidika na jasho lao baada ya kuwa Bei ya mazao Ni nzuri Tangia wakati wa mavuno? Kwanini wasimpongeze? Ni vipi iwe kosa na kero kumpongeza? Kwanini mtu aumie na pongezi hizi kwa mh Rais? Nini kinachomuuma kwa Rais kupongezwa na kusifiwa? Je anataka kusikia Rais akishambuliwa na maneno mabaya? Au anataka Rais azomewe? Au hafurahishwi na mafuriko ya mapokezi anayoyapata mh Rais kila apitapo na kufika kwa wananchi kuwasikiliza huku akisifiwa na kupongezwa kwa usikivu wake?
Wazazi wanaosomesha watashindwaje kumpongeza mh Rais? Watashindwaje kumsifia mh Rais baada ya kutuliwa mzigo wa kulipiwa Ada watoto wao mpaka kidato Cha sita? Watashindwaje kumshukuru wakati wanaona matumaini ya watoto wao Kuendelea na masomo yao? Watashindwaje kumpongeza wanapoona watoto wao wakiendelea na masomo bila kikwazo Wala kuchangishwa mamichango licha ya uduni wa maisha Katika familia zao? Watashindwaje kupiga magoti kumuombea Afya njema mama huyu mzalendo wa kweli na kipenzi Cha watanzania?
Wanafunzi wa Elimu ya juu watashindwaje kumpongeza na kumsifia Rais wao hasa baada ya kuona ndoto zao zikitimia bila shida baada ya kuwa wote wenye sifa wamepata mikopo na kuruhusiwa kupokelewa vyuoni na Kuendelea na masomo yao? Kwanini wasimpongeze? Wangapi wamewahi kushindwa kufikia ndoto zao za kupata Elimu ya juu kwa kukosa mkopo? Wangapi wameteketeza Mali zao Kama ardhi kwa kulipia Ada sekondari Hadi vyuoni watoto wao nikiwepo Mimi Kama mfano wa kuuzwa kwa ardhi nilipokuwa nasoma ili kulipia ada? Wangapi wamekwama njiani kwa kukosa Ada vyuoni? Kwanini leo hii wasimpongeze mh Rais wanapoona wanapata mikopo na kutimiza Ndoto zao
Kuna Nini nyuma ya Dr Bashiru? Kwanini anataka apandikize chuki kwa watanzania? Kwanini anataka kuwafundisha watanzania wamchukie Rais wao? Kwanini Hataki Rais Samia Asisifiwe na kupongezwa anapofanya vizuri? Kwanini Hataki?Nini kinamuuma Dr Bashiru mh Rais akisifiwa na kupongezwa? Anataka Nini ili afurahi moyo wake? Haamini kuwa Huyu ndiye Rais wake? Hamtaki Mama Samia? Anataka Nini?Amepanga Nini Dr Bashiru? Yupo na Nani? Ametumwa Na Nani? Kwa ajenda Gani? Kwa mwaka upi? Kwa malengo gani?kwa njia zipi? Kwakutumia watu wapi na makundi yapi? Anataka kupanda mbegu gani chamani? Kwanini alete Taharuki kipindi hiki? Kwanini hakufanya hivi Huko nyuma? Kwanini iwe Sasa wakati wa mama Samia?Mbona huko nyuma tulikuwa tunaandaa Hadi makongamano ya kumsifu Rais wetu Hayati Dr Magufuli anapofanya vizuri na Wala hatukuwahi kusikia kauli Kama hii kutoka kwa Dr Bashiru? Kwanini inaonyesha amekosa Heshima kwa Mh Rais? Anataka alazimishe Jambo Gani ili kutimiza ajenda Gani na iliyopangwa na Nani na kuongozwa na kuratibiwa na Nani? Je Ametangulizwa na watu kuja kupima kina Cha maji? Je ametumwa na watu kuja kupata mwitikio wa Rais? Je anataka kujibiwa na Rais? Je anataka kukigawa chama chetu? Je anataka kupandikiza makundi? Je anataka kuleta mbegu gani ndani ya chama chetu?
Mbona hajawahi kufanya haya huko nyuma? Mbona hajawahi kuzungumza haya huko nyuma? Mbona hajawahi popote pale kuwakanya watu wasimsifie Wala kumpongeza kiongozi yoyote anayefanya vizuri? Anataka Rais apongezwe na Nani ikiwa watanzania wanaotumikiwa kupitia ilani yetu wameridhishwa na utendaji kazi wa mh na kuamua kumpongeza na kumsifia mh Rais? Kwanini anataka kumkatisha Tamaa Mh Rais pamoja na wananchi? Kwanini anataka kuwafundisha ujeuri wananchi? Anataka wananchi waipinge serikali yao?anataka waichukie serikali yao? Anataka waikatae serikali yao? Anataka Nani apongezwe? Nani aipongeze? Je ilani aliyoisimamia mwenyewe anataka Nani aisifie Inapokuwa inatekelezwa vizuri.
Dr Bashiru amemkosea Rais wetu,ameikosea CCM ,ameikosea serikali na ametukosea wananchi. Amuombe radhi mh Rais,chama, serikali na watanzania wote kwa ujumla wake. Awe muungwana katika hili, ajishushe na kutambua kosa lake, ajisahihishe Kama kweli kauli Ile haikuwa na lengo baya na haikuwa na ajenda ya Siri nyuma ya pazia.
Ccm ni moja ,wanaccm Ni wamoja na chama ni kimoja.Tuendelee kusimama kwa pamoja Kama chama Na Taifa kwa ujumla,Tusimame na Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tusimuache akishambuliwa Wala kukatishwa Tamaa. Shambulizi dhidi ya Rais Samia Ni Shambulizi kwa chama chetu serikali yetu na Taifa letu kwa ujumla ambalo Hilo ndilo ambalo mh Rais wetu amejitoa na kujitolea kulitumikia kwa uzalendo na kwa dhati ya moyo wake wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Angalia zaidi Bashiru akiwasisitiza wakulima kusimama kudai haki zao za msingi 2019Nataka unijibu swali kuwa Ni lini kauli hiyo ya Mh Dr Bashiru amewahi kuitoa huko siku za nyuma?
Bashiru kawashika kusikodhaniwa.Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe

Nchi yetu siyo kisiwa na hatuwezi kujifungia ndani tu bila kushirikiana na wenzetu. Safari za mh Rais zimekuwa na faida na mafanikio makubwa Sana kwa Taifa letu, Ni safari na ziara hizi zimesaidia kuvutia wawekezaji na mamillion ya watalii hapa nchini, Ni safari hizo ambazo tumeshuhudia wawekezaji na watalii wakimiminika hapa nchini hasa baada ya wazo la kibunifu la mh Rais la royal Tour lililosaidia kuvitangaza vivutio vyetu vya utalii pamoja na fursa mbalimbali za kiuwekezaji zinazopatikana nchini mwetu.Ni uwekezaji Huu ambao umezalisha fursa mbalimbali za ajira kwa vijana na kuongeza makusanyo ya mapato, Ni Ziara hizi ambazo zimefanya China kutusamehe Deni la Billion 31 pesa ambayo tutaitumia kuwekeza katika huduma zingine au miradi mingine itakayo wasaidia na kuwagusa watanzania, Ni safari hizo ambazo leo hii mazao yetu yanaingia nchini kenya bila shida na hivyo kufanya soko kuwa la uhakika kwa wakulimaTanzania inaangamia kutokana na UPUMBAVU kama hawa.
Tangu huyo mtu wenu aingie madarakani Nchi hii imekuwa na Mambo ya Ovyo kabisa kuwahi kutokea.
1. Yeye ni kiguu na njia kwenda kuomba mikopo. Akifika nayo tu, MAJIZI yanadaka juu kwa juu, hivyo hiyo mikopo inawasaidia wachache.
2. Tangu aingie madarakani kumekuwa na:-
I. Uhaba wa umeme.
II. Uhaba wa maji.
III. Kupanda kwa bei za vitu.
IV. Ujambazi na mauaji ( Panyaroads)
V. Upigaji wa fedha za umma.
Hayo yote yanatokea lakini hatujawahi kusikia akichukua hatua Mujarabu ili kuinusuru Nchi.
Hakuna aliye mkubwa ndani ya CCM na anayeweza kuitikisa CCMBashiru kawashika kusikodhaniwa.
Kuitoa siku za nyuma au kuitoa sasa,au kuitoa siku za mbele,haijalishi...KINACHOJALISHA NIKWAMBA AMETOA MAWAZO YAKE MYAHESHIMUNataka unijibu swali kuwa Ni lini kauli hiyo ya Mh Dr Bashiru amewahi kuitoa huko siku za nyuma?
Hivi hii nchi vijana wetu wamebaki kuwa machawa tu.Hatuwezi kumukosoa Rais ili afanye marekebisho kwenye utendaji wake?Akili zetu ni kusifia tu na kuweka namba za simu ili tupate uteuzi.Nyie machawa ,ili mjue kuwa ni wapumbavu Kama alivyosema Mkapa marehemu ,nendeni kwenye comments za You tube zote zilizokopi mipasho yenu .Kuanzia chawa Msukuma,Chawa wa UVCCM,Chawa Kigwangara na wengine wote.Comments za watu zinawaponda sana machawa na kumtetea Kakurwa Dr.Kwa hiyo huu ujinga wa kusifia kila kitu ,wananchi hawakubaliani nao.Ni ukosefu wa akili kabisa.Mm binafsi namkubali Rais wetu Kama ,Rais anayejitahid lakin akikosea siwezi kumsifia.Na Kama ningekuwa na bahati ya kukutana nae ,ningemweleza ukweli kuwa Makamba,Nape,Ridhiwani hawafai kuwa mawaziri ni mizigo tupu.Kwa Sasa hatuna maji ,umeme tunasifia nn?Tunaweka namba za simu za uchawa ili iweje?Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe
Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu mkuu mstaafu wa CCm na katibu mkuu kiongozi mstaafu yamekuwa Ni maneno yakushangaza na kusikitisha, yamekuwa ni maneno yaliyowashitua wengi,yamekuwa ni maneno yaliyo washangaza wengi, yamekuwa Ni maneno ambayo hayakutegemewa kutoka katika kinywa Cha mtu Kama Dr Bashiru, Yamewashangaza na kuwakeraa wengi, kuwasononesha na kuwakatisha Tamaa.
Ni maneno yaliyoonesha chuki Binafsi kwa mh Rais, Ni maneno yaliyoonesha kuwepo kwa Ajenda ya Siri nyuma,Ni maneno yaliyoonesha uwakilishi wa kakikundi fulani nyuma yake, Ni maneno yaliyo kuja Kama kupima upepo, Ni maneno yaliyo kuja kumkatisha Tamaa Mh Rais, Ni maneno yaliyokuja kuwagawa wanachama, Ni maneno yaliyolenga kumvunja moyo mh Rais, Ni maneno yaliyokuja kana kwamba Ni mtego wakutaka kutambua mtizamo wa chama na wananchi, Ni maneno ya kuleta Taharuki. Ni Maneno yaliyokuja Kama kutoa ujumbe au kufikisha ujumbe au kuleta picha fulani Au kutunisha misuri au kutisha japo huwezi ukaitisha Taasisis ya Urais hata siku moja
Hakika Ni Shambulizi kwa Rais, Ni kombola lililorushwa ili kusikiliziaa Nini kitatokea litakapotua, Ni Shambulizi la makusudi lenye lengo maalumu na ajenda maalumu, Halijatokea kwa bahati mbaya na Kama Kuna mtu Anawaza hivyo Amini Nawaambieni kuwa atakuwa anajidanganya, atakuwa hajawaza vizuri,atakuwa amejipa jibu la bila kufikiri kwa kina na kuelewa maana ya kauli hiyo, atakuwa hajatafakari kwa undani wa kauli hiyo. Ni kauli ya Hasira toka kwenye moyo wenye hasira kinyongo na chuki,siyo kauli ya kawaida kutoka kwa kiongozi aliyefikia ngazi ya juu kiuongozi ndani ya chama na serikali na anayepaswa kuwa mnyenyekevu,mtiifu,mwenye kifua Cha Siri, na mwenye kuchungu ulimi wake hasa kwa kutambua kuwa Ni mtu aliyekuwa anafahamu Siri nyingi na mipango mingi ya chama na serikali kutokana na nafasi za kiuongozi alizokuwa nazo, Ni mtu anayepaswa kuheshimu mamlaka na kukosoa kwa staha na kufuata utaratibu ambao hauwezi kuleta Taharuki kwa jamii
Ndugu zangu iweje kosa kumpongeza mh Rais? Iweje nongwa kumsifia mh Rais kwa kazi nzuri na njema alizozifanya ndani ya muda mfupi? Kwanini asipongezwe? Kwanini asisisfiwe anapofanya vizuri? Kwanini iwe dhambi kumtia moyo na kumpa faraja mh Rais ya kusonga mbele?
Ndugu zangu Wakulima wa nchi hii watashindwaje kumpongeza mh Rais wakati wanaona kazi kubwa na juhudi za mh Rais katika kuwainua kiuchumi na kuwakwamua kutoka katika umaskini? Wakulima waliokuwa wananunua mbolea ya DAP laki na 40 msimu uliopita watashindwaje kumpongeza nakumsifia mh Rais wanapoona msimu huu mbolea hiyo hiyo Ya DAP ya Ruzuku inapatikana kwa Elfu 70 tu? Wakulima watashindwaje kumpongeza na kumsifia mh Rais wanapoona Sasa wanafaidika na jasho lao baada ya kuwa Bei ya mazao Ni nzuri Tangia wakati wa mavuno? Kwanini wasimpongeze? Ni vipi iwe kosa na kero kumpongeza? Kwanini mtu aumie na pongezi hizi kwa mh Rais? Nini kinachomuuma kwa Rais kupongezwa na kusifiwa? Je anataka kusikia Rais akishambuliwa na maneno mabaya? Au anataka Rais azomewe? Au hafurahishwi na mafuriko ya mapokezi anayoyapata mh Rais kila apitapo na kufika kwa wananchi kuwasikiliza huku akisifiwa na kupongezwa kwa usikivu wake?
Wazazi wanaosomesha watashindwaje kumpongeza mh Rais? Watashindwaje kumsifia mh Rais baada ya kutuliwa mzigo wa kulipiwa Ada watoto wao mpaka kidato Cha sita? Watashindwaje kumshukuru wakati wanaona matumaini ya watoto wao Kuendelea na masomo yao? Watashindwaje kumpongeza wanapoona watoto wao wakiendelea na masomo bila kikwazo Wala kuchangishwa mamichango licha ya uduni wa maisha Katika familia zao? Watashindwaje kupiga magoti kumuombea Afya njema mama huyu mzalendo wa kweli na kipenzi Cha watanzania?
Wanafunzi wa Elimu ya juu watashindwaje kumpongeza na kumsifia Rais wao hasa baada ya kuona ndoto zao zikitimia bila shida baada ya kuwa wote wenye sifa wamepata mikopo na kuruhusiwa kupokelewa vyuoni na Kuendelea na masomo yao? Kwanini wasimpongeze? Wangapi wamewahi kushindwa kufikia ndoto zao za kupata Elimu ya juu kwa kukosa mkopo? Wangapi wameteketeza Mali zao Kama ardhi kwa kulipia Ada sekondari Hadi vyuoni watoto wao nikiwepo Mimi Kama mfano wa kuuzwa kwa ardhi nilipokuwa nasoma ili kulipia ada? Wangapi wamekwama njiani kwa kukosa Ada vyuoni? Kwanini leo hii wasimpongeze mh Rais wanapoona wanapata mikopo na kutimiza Ndoto zao
Kuna Nini nyuma ya Dr Bashiru? Kwanini anataka apandikize chuki kwa watanzania? Kwanini anataka kuwafundisha watanzania wamchukie Rais wao? Kwanini Hataki Rais Samia Asisifiwe na kupongezwa anapofanya vizuri? Kwanini Hataki?Nini kinamuuma Dr Bashiru mh Rais akisifiwa na kupongezwa? Anataka Nini ili afurahi moyo wake? Haamini kuwa Huyu ndiye Rais wake? Hamtaki Mama Samia? Anataka Nini?Amepanga Nini Dr Bashiru? Yupo na Nani? Ametumwa Na Nani? Kwa ajenda Gani? Kwa mwaka upi? Kwa malengo gani?kwa njia zipi? Kwakutumia watu wapi na makundi yapi? Anataka kupanda mbegu gani chamani? Kwanini alete Taharuki kipindi hiki? Kwanini hakufanya hivi Huko nyuma? Kwanini iwe Sasa wakati wa mama Samia?Mbona huko nyuma tulikuwa tunaandaa Hadi makongamano ya kumsifu Rais wetu Hayati Dr Magufuli anapofanya vizuri na Wala hatukuwahi kusikia kauli Kama hii kutoka kwa Dr Bashiru? Kwanini inaonyesha amekosa Heshima kwa Mh Rais? Anataka alazimishe Jambo Gani ili kutimiza ajenda Gani na iliyopangwa na Nani na kuongozwa na kuratibiwa na Nani? Je Ametangulizwa na watu kuja kupima kina Cha maji? Je ametumwa na watu kuja kupata mwitikio wa Rais? Je anataka kujibiwa na Rais? Je anataka kukigawa chama chetu? Je anataka kupandikiza makundi? Je anataka kuleta mbegu gani ndani ya chama chetu?
Mbona hajawahi kufanya haya huko nyuma? Mbona hajawahi kuzungumza haya huko nyuma? Mbona hajawahi popote pale kuwakanya watu wasimsifie Wala kumpongeza kiongozi yoyote anayefanya vizuri? Anataka Rais apongezwe na Nani ikiwa watanzania wanaotumikiwa kupitia ilani yetu wameridhishwa na utendaji kazi wa mh na kuamua kumpongeza na kumsifia mh Rais? Kwanini anataka kumkatisha Tamaa Mh Rais pamoja na wananchi? Kwanini anataka kuwafundisha ujeuri wananchi? Anataka wananchi waipinge serikali yao?anataka waichukie serikali yao? Anataka waikatae serikali yao? Anataka Nani apongezwe? Nani aipongeze? Je ilani aliyoisimamia mwenyewe anataka Nani aisifie Inapokuwa inatekelezwa vizuri.
Dr Bashiru amemkosea Rais wetu,ameikosea CCM ,ameikosea serikali na ametukosea wananchi. Amuombe radhi mh Rais,chama, serikali na watanzania wote kwa ujumla wake. Awe muungwana katika hili, ajishushe na kutambua kosa lake, ajisahihishe Kama kweli kauli Ile haikuwa na lengo baya na haikuwa na ajenda ya Siri nyuma ya pazia.
Ccm ni moja ,wanaccm Ni wamoja na chama ni kimoja.Tuendelee kusimama kwa pamoja Kama chama Na Taifa kwa ujumla,Tusimame na Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tusimuache akishambuliwa Wala kukatishwa Tamaa. Shambulizi dhidi ya Rais Samia Ni Shambulizi kwa chama chetu serikali yetu na Taifa letu kwa ujumla ambalo Hilo ndilo ambalo mh Rais wetu amejitoa na kujitolea kulitumikia kwa uzalendo na kwa dhati ya moyo wake wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hongera kwa kuweka na namba ya simu..ila pole ccm inawenyewe awamu hii.Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe

Jibu hoja mkuu
Kwahiyo mtafanyaje sasa hapa kwa Bashiru nyie ccm?Hakuna aliye mkubwa ndani ya CCM na anayeweza kuitikisa CCM
Raisi hajawahi kukosea au yeye hakosei? Kwamba yeye ni mkamilifu muda wote?Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe

Hata Bashiru kabla ya kumpata yaliyompata, alikuwa msifu wa JPM, leo akili zmemrejea sasa anatema chechee!! Hata huyu Kijana wa Mbozi Igamba, akili zikimkaa vizuri atageuza mapambio,Njaaa mbaya Sana.Jamani nadhani namba ya simu mmeiona , huyu kijana anunuliwe simu mpya ili aendelee kumfagilia mama , Simu yake kioo kina Ukungu , mimi natuma elfu 50 sasa hivi
Unapotatua baadhi ya matatizo lazima uwe na mikakati ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu