Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

Mtoa mada, katika mizani ya Uongozi, HUFAI HATA KUA MWENYEKITI WA KIKAO CHA FAMILIA .[emoji23]
 
Chama chenu mnataka kiwe Cha kusifu na kuabudi? Chama kiwe Cha kinafiki?
Chama chetu kina misingi na taratibu zake kwa mtu mwenye Jambo,Huwezi ukatoka hadharani na kuongea kila Jambo au Jambo lolote hasa kwa mtu ambaye umewahi kushika nafasi za juu kiuongozi ndani ya chama na serikali
 
Pumba Puma nyingi sana unaandika shituka kijana wenzako Hawana shida kama ulizonazo wewe umefika hatua unalia kioo Cha cm unamanisha umekosa Hera ya kuitengeneza acha ujuha wewe wenzako wanabadilisha Magali vi IST KWAO NI VYA KUHONGA
 
Nchi ina mijitu mijinga mingi sana...Minafiki balaa..Yaani Huyu jamaa utadhani ameua...mm simpendi bashiru hata yeye ni mnafiki mkubwa..Lakini mmezidi unafiki
 
Hivi ile ripoti ya kuchota matrilioni ya kumuuguza mwendazake wakati ule imeshatoka? Tuliambiwa tutajulishwa
 
Mkuu mwiteni na Waziri Mkuu Mstaafu Warioba naye kaongea hayo hayo!! Pia Kinana alisema hayo hayo akiwa Kagera.
 
Umeandika na jina lako na namba ya simu kabisa ili ijulikane ni nani wewe ili yamkini ukumbukwe kwenye uteuzi!!! Umeonyesha ubinafsi na wala siyo uzalendo!! Unatetea tumbo lako na siyo mheshimiwa Samia Suluhu Hassan!!! Bila shaka mheshimiwa atakugundua nia yako ya kibinafsi yenye agenda ya siri na atakuchinjia baharini!!!
 
Nioneshe nilipozungumzia kuhusu habari za uteuzi
 
Endelea kuimba sifa za mama yako.
Endelea tu, na uchawa, labda utatunukiwa simu mpya.
 
Nioneshe nilipozungumzia kuhusu habari za uteuzi
Nioneshe nilipozungumzia kuhusu habari za uteuzi
Ulipoweka namba yako ya simu hapo ndipo ulituwezesha kusoma katikati ya mistari!!! Unataka mheshimiwa aweze kuwa na mawasiliano yako! Unatazamia awasiliane na wewe!!! Umeamua kumzika mwenzio ili wewe ufufuke!!! Hatuendi hivyo!! Mawazo binafsi siyo shambulizi hata kama wewe una mawazo tofauti! Bashiru hajatukana wala hajataja mtu moja kwa moja!!! Mtu halazimiki kukubaliana na mawazo yake lakini ana uhuru na haki ya kutoa mawazo yake ili mradi havunji sheria!!!
 
Hauna hata 10k ya kurekebisha kioo cha simu halafu unasifia na kutetea watu wanaopiga hela za kutosha kila siku. Pole sana

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Mbona mgao wa umeme hauwaumizi na badala yake mnaumizwa na maneno ya Bashiru?
Hawa wana uono usiozidi urefu wa pua zao. Nchi ina miaka 61 toka uhuru, imezungukwa na maziwa na mito lkn maji ni shida kuliko jangwani na umeme ni changamoto ya kihistoria abd yet hawakasirishwi na hali halisi. Eti wanakasirishwa na maoni ya bashiru.
Hovyo sana hawa!
 
Naam kama wewe ulivyo na Haki kuongea huu ambao wengi wanaona ni Upupu na yeye muache na Haki yake..., Kama unaona Mama ni Mfalme hakusolewi wala Hakosi wengine wanaona ni Mtumishi wao ambaye ana-underperform; Kama wewe unaona nafasi yako katika nchi ni kusifia wengine wanaona ni kusahihisha ili mambo yaende sawa...

To each his/her own... Binafsi naona watu kama Bashiru mmoja ni watu kama nyie milioni moja kwa ustawi wa jamii na mtu kama wewe mmoja ni doa kubwa sana kwa ustawi wa jamii (Yaani ni kama Cancer) - Huo ni Mtizamo Wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…